Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu kama hicho kaka. NI ile tabia ya wakenya kujipa umuhimu kwa vitu visivyowahusu. Wakenya ni jobless wanatafuta namna ya ku trend kwenye mitandao. Nchi hiyo ilisha kufa kaka.

Hakuna mtu mwenye uwezo wa kununu tiketi ovyo ovyo kwenye mifumo ya Tanzania.

1. Kama ni foreigner kutoka nchi nyingine lazima atumie passport.
2. Kuna dedicated ticket chache kama 1000 kwa foreigners.
3. Tiketi zingine zote zilizobaki ni kwaajili ya watanzania.
Hii hapa ni Ticket System ya Tanzania is Available:

View attachment 3447442

Hii hapa ni Ticket System ya Kenya Not Available:

View attachment 3447444

NB: Wakenya wanapiga kelele ili kuwahamisha wananchi wao wasishughulike na madhaifu yao.
Kwenye ICT kenya ipo nyuma sana.
Bongolala, hakuna mfumo ya Tanzania inatumika kwenye uuazaji wa tickets AFCON.

The ticketing system at AFCON is 100% owned and controlled by CAF
 
Bongolala, hakuna mfumo ya Tanzania inatumika kwenye uuazaji wa tickets AFCON.

The ticketing system at AFCON is 100% owned and controlled by CAF
Hata sisi tunaona ni owned and controlled by CAF, Naona hadi CAF wamewapa watanzania kadi za NCARD. 😂😂😂
IMG_5414.jpeg


View: https://youtu.be/rKr6INgTVG8?si=rwMlU54RZMhxEcJe
 
Bongolala, hakuna mfumo ya Tanzania inatumika kwenye uuazaji wa tickets AFCON.

The ticketing system at AFCON is 100% owned and controlled by CAF
Kwikwikwikwikwi Wakenya tulisha maliza huko. Kwenye mambo ya payment System Tanzania is Number one in Africa Hakuna nchi hapa Africa yenye peyments Systems kama za Tanzania. Huko sisi tulisha toka.

Mfumo wa Payment wa Football Managed by JamiiPay kupita Tanzania National Internet Data Center (NIDC).

Mfumo huu hapa:

1755762893450.png


Check chini pameandikwa contacts zote za Mfumo.
Jamii Pay Ecosystem: Integration with systems like TIPS and GEPG will reduce financial service costs and increase financial system flows.
 
Sioni FUTURE.

Wameshaanza kwenda kuomba pesa China, wakati wanapiigwa mkwara na Marekani wanasema hawataki kuchaguliwa rafiki.
Wanashtuka leo kukataa kuchaguliwa marafiki 🤣🤣🤣🤣 sisi tuliwaambia kitambo wakatumind ila sasa wameshakubali wanajua msimamo wetu kuwa sio nchi ya kulamba matako ya makapitalisti
 
Back
Top Bottom