Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wasione hio picha plz 😂😂😂😂

View: https://x.com/thestarkenya/status/1958405071324283199?s=46
IMG_7839.jpeg
 
barabara km 6 na kuweka culvert ndogondogo 7 imegharimu 26.15b tsh

kaaaah nchi yangu tanzania what is this lakini? 26.15b aloooo nimeshtuka sana 🙌🏻

haya tuendelee kusifiana tu

View: https://www.instagram.com/reel/DNlwpzko7P4/?igsh=dW01OHZtZHQ1bzN5

na sasa nimeamini kwann hii awamu hii imekopa pesa nyingi sana kuliko awamu zote zilizopita combined 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

kama matumizi yenyewe ni haya wanahaki ya kukopa pesa zaidi ya 56 trillion in just 4 good years
 
Kaka. CCM haishuki iwe leo au Kesho. Upo na choice ya kuchagua chama kingine cha siasa.

Badala ya vyama vyenu kujenga Taasisi kama ilivyo ya CCM, mmewekeza kwenye activism na chama cha matukio.

Vyama vinavyosubiri wanaoachwa na CCM waende wakagombee Urais, Ubunge na Udiwani!!!! Hamuwezi kufanya recruitment ya wanachama wenu?

Hakuna opposition hapa TZ. Tulikuwa tunategemea ACT lakini nao wapi.

Walimuweka Membe kutoka CCM
Sasa hivi Mpina tena aligombea ubunge na akakatwa CCM leo hii anagombea urais ACT.

Je, wakulaumiwa ni CCM au oppositions.

Mnajuaje kama mpina siyo pandikizi wa CCM kuua ACT?
Whenever I get a chance huku uswahilini huwa naongea maneno kama haya!! Upinzani hapa Tanzania ni comedy tu!! Ndo maana hata hao Chadema siwaamini pia.
Baada ya kujizatoti kwenye kujenga misingi ya chama shupavu wao wapo kwenye uwanaharakati tu!! Kila kitu kupinga bila hata ya kusoma upepo!!

Ila CCM nayo inahitaji reforms, tena kubwa. Kwa mfumo huu hakiweza kutupeleka kuwa nchi ya Asali na maziwa.

Ila tatizo wasomi hamtaki CCM, matokeao yake mnawaachia, wazoa taka, mama lishe, wabeba mizigo wawachagulie viongozi ( sio kwa dharau lakini). Wasomi mnatakiwa kuvamia kuanzia chini kabisa, ila mambo ya kununua kura kwa 10,000 yaishe.....la sivyo tutalia mpaka kiama. Ila wachumia tumbo ndo watatuongoza tu!!
 
Tuna upinzani wa kupinga pinga kila kitu ovyo, upinzani usio kuwa na agenda kila kitu kilichopo mbele yao wanaruka nayo.
Na kosa lingine kubwa walilofanya ni hili kwenye hii post/tweet.

View: https://x.com/sdkkalula/status/1925120701859606586?s=46
 
Shida ya siasa zetu ninwatu wanaofikiria kama wewe.

Vyama vya siasa vinabaki kuwa vyama vya siasa.

Wananchi tunachotaka ni HESHIMA ya Kura.

Mfano, hata mimi leo tukiwa na uchaguzi bado nitachagua Rais wa CCM.

Kuheshimu kura haina maana kuwa lazima Upinzani ushinde au lazima CCM itoke. Ninkuwapa watu uhuru wa kuchaguana, ili kusukuma maendeleo kutoka chini.

Wananchi wanapochagua mtu wanayemwamini ni rahisi, hata akiwaambia kuchangia maendeleo.
 
Nikashangaa serikali na TFF wamekuwa wazembe kiasi gani hivi
Hakuna kitu kama hicho kaka. NI ile tabia ya wakenya kujipa umuhimu kwa vitu visivyowahusu. Wakenya ni jobless wanatafuta namna ya ku trend kwenye mitandao. Nchi hiyo ilisha kufa kaka.

Hakuna mtu mwenye uwezo wa kununu tiketi ovyo ovyo kwenye mifumo ya Tanzania.

1. Kama ni foreigner kutoka nchi nyingine lazima atumie passport.
2. Kuna dedicated ticket chache kama 1000 kwa foreigners.
3. Tiketi zingine zote zilizobaki ni kwaajili ya watanzania.
Hii hapa ni Ticket System ya Tanzania is Available:

View attachment 3447442

Hii hapa ni Ticket System ya Kenya Not Available:

View attachment 3447444

NB: Wakenya wanapiga kelele ili kuwahamisha wananchi wao wasishughulike na madhaifu yao.
Kwenye ICT kenya ipo nyuma sana.

View: https://youtu.be/rKr6INgTVG8 huyu mamdogo wa kiganda video yake imenifurahisha,imeonyesha gates zote za mkapa,na namna watu wanavyoingia kwa scan,kunyan wanakuambia washanunua tiketi zote za taifa stars na morocco,kunyan maskini hawajui TZ huwezi kununua tiketi bila ya kua na n card na namba ya simu ya TZ,kingine kunyan angalieni hapo karibu na mkapa kama kuna makazi ya watu kama mnajidanganya

Wamezoea kudanganyana na kutafuta Trend kwenye mitandao. Kenya ilishakufa
 
Kumbe hutaki nifunge account. 🤣🤣 Your demand is less than Kenya's, Sasa ulikua unaropokwa nini nikikuambia Kenya ina higher demand na inaendelea kuongezeka.
Hiyo ni demend ya National Grid bado kuna independent grid nyingi tuu hazijawekwa kwenye hesabu. Mfano Lindi and Mtwara have their own independent grid and so is Kigoma pia halafu all major mines are operatiing on their own power sources. Preparations are in high gear to link them to the national grid. Ukiangalia hiyp picha utakuta power demand ya Tanzania is more that what is being reported.
 
With this Kenyan mindset, traffic Jam in Nairobi is there to STAY.

How do cities grow and expand, then?
Stop changing gear bongolala. You talking as if your glorified fishing village Dar does not experience traffic jams
 
Back
Top Bottom