Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whenever I get a chance huku uswahilini huwa naongea maneno kama haya!! Upinzani hapa Tanzania ni comedy tu!! Ndo maana hata hao Chadema siwaamini pia.
Baada ya kujizatoti kwenye kujenga misingi ya chama shupavu wao wapo kwenye uwanaharakati tu!! Kila kitu kupinga bila hata ya kusoma upepo!!

Ila CCM nayo inahitaji reforms, tena kubwa. Kwa mfumo huu hakiweza kutupeleka kuwa nchi ya Asali na maziwa.

Ila tatizo wasomi hamtaki CCM, matokeao yake mnawaachia, wazoa taka, mama lishe, wabeba mizigo wawachagulie viongozi ( sio kwa dharau lakini). Wasomi mnatakiwa kuvamia kuanzia chini kabisa, ila mambo ya kununua kura kwa 10,000 yaishe.....la sivyo tutalia mpaka kiama. Ila wachumia tumbo ndo watatuongoza tu!!
akuna sehem duniani wananchi wanapenda serikali yao, na hio nchi ya ahadi na mtindi haipo
 
Kenya’s rice production capacity is not yet maximized. But things are changing in places like Mwea ( do research) .. though the local demand is higher than the supply for now , the trend is slowly reversing. At the same time , if farmers can reap more profit to export it to Japan, so be it. We can turn rice into a cash crop and figure out other cheaper ways to satisfy domestic demand. After all , farmers come first .
Huwa mna "Kizungu Mingi"

Asiyewajua😀
 
Mwea ni 30,000 acre tu ambazo hata mkisema zizalishwe zote hamuwezi ondoa deficit ya mchele.
Japan rice production kwa mwaka ni zaid ya 6mil tonnes with deficit ya in between 990,000 tonnes .
Kenya total rice production haivuki 300,000 tonnes demand ikiwa above 1.3mil tonnes
Bado mnadanganywa tu.
Kipindi nyinyi mnafikiria kuanza kuwekeza kwenye mchele watanzania kwa sasa wanahamia kwenye full mechanization ya mchele hence production inazidi kuongezeka na bei kuendelea kushuka ,
🤣🤣🤣
 
Kadri siku, wiki, miezi, na miaka inavyo songa ndo wanazidi kuchanganyikiwa hadi top management wote na wananchi wao ni sawa tu kama kiongozi wao anasimama na kuunga mkono uongo kuwa wamenunua tiketi zote za kuingia BWM kati ya Tanzania na Morocco kuna akili hapo
Hawa mafala hawana ajira kilichobaki ni mitandaoni na mandamano ili kupunguza stres na vyombo vyao vya habari radio na TV ni hayo hayo
 
Hawajui hata wafanye nn kwa sasa wakiona kitu ni Tanzania huwa wanakataa kuwa hapo sio Tanzania kwa sababu wamezoe kudanganywa ila wakitoka na kufika Tanzania wanaanza kulalamika kuwa wanadanganywa

Back
Top Bottom