Wewe una uhakika gani kama mpina ni pandikizi wa CCM!?Kaka. CCM haishuki iwe leo au Kesho. Upo na choice ya kuchagua chama kingine cha siasa.
Badala ya vyama vyenu kujenga Taasisi kama ilivyo ya CCM, mmewekeza kwenye activism na chama cha matukio.
Vyama vinavyosubiri wanaoachwa na CCM waende wakagombee Urais, Ubunge na Udiwani!!!! Hamuwezi kufanya recruitment ya wanachama wenu?
Hakuna opposition hapa TZ. Tulikuwa tunategemea ACT lakini nao wapi.
Walimuweka Membe kutoka CCM
Sasa hivi Mpina tena aligombea ubunge na akakatwa CCM leo hii anagombea urais ACT.
Je, wakulaumiwa ni CCM au oppositions.
Mnajuaje kama mpina siyo pandikizi wa CCM kuua ACT?
Achilia mbali na huyo Mpina,tutoleeni Tundu Lissu wetu.
Achia mbali na Tundu Lissu,umeona watu mnaowapitisha kwenye chama chenu ili waje wawe Madiwani na wabunge? Ni uharo mtupu.
Hata nikikuorodheshea hapa baadhi kwa wilaya ya Temeke na Kigamboni utacheka ufe.
Ilimradi mtu CCM ndio mtawale mnaingiza watu wa hovyo.
Mara tu tangia hapo rais mwenyewe wa hovyo.