Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha maneno mengi, weka demand hapa, kama imeshinda ya Kenya nafunga hii account.
ikiwa tanzania ni kubwa mara mbili zaidi ya kenya na still nchi nzima umeme umefika heheh na bado tunasambaza umeme kila kijiji kila kona ya nchi hiii

mpaka nov 2024 tulikua matumizi ya 1900MW

na hvi sasa 2025 tunazalisha 4000MW
IMG_7812.jpeg
 
ikiwa tanzania ni kubwa mara mbili zaidi ya kenya na still nchi nzima umeme umefika heheh na bado tunasambaza umeme kila kijiji kila kona ya nchi hiii

mpaka nov 2024 tulikua matumizi ya 1900MW
View attachment 3445663
Kumbe hutaki nifunge account. 🤣🤣 Your demand is less than Kenya's, Sasa ulikua unaropokwa nini nikikuambia Kenya ina higher demand na inaendelea kuongezeka.
 
less with what ikiwa demand ya kenya 2025 ni 2100MW na mm nimekupa demand ya 2024 what about mpaka sasa itakua ngapi na sisi ndio tunaongoza africa kwa kusambaza umeme vijijini 😂😂 unategemea demand itakua ni ile ile au???

sisi hua hatu fake data mzeee
 
Bado unalialia tu, umeshindwa kuprove mukona a higher demand than Kenya. 🤣🤣
 
Unafikiria kama pumbavu. Our demand imepita supply just a while ago. Customers wamekua wengi than projections.
Then jengeni sasa kwanini mnashindwa Jenga kama mnahela ?
Unahisi Tanzania kuwa na electricity production ya over 4000 hakuna demand ? Hapo bado tunaongeza Tena na kinyerezi iii 600mw .
Hamna uwezo wa kutujenga ndo maaana mnaopt kununua . Mnaproject kibao za umeme mme- stag🤣🤣🤣🤣
 
less with what ikiwa demand ya kenya 2025 ni 2100MW na mm nimekupa demand ya 2024 what about mpaka sasa itakua ngapi na sisi ndio tunaongoza africa kwa kusambaza umeme vijijini 😂😂 unategemea demand itakua ni ile ile au???

sisi hua hatu fake data mzeee
Ati mnaongoza Africa ?… 🤣🤣🤣🤣🤣… don’t quit ur day job, ur comedy sucks!..😁😁😁
 
Kusambazwa na kuwa connected ni vitu viwili, hakuna Kijiji Tanzania kisichokuwa na umeme kwa sasa ila imebaki ni kazi ya individual personels kwenda kujiunga na grid ya taifa.
However Kenya bado Kuna vijiji mpaka leo havijapitiwa na umeme na pia bado Kuna maeneo Kenya bado yanatumia generators🤣
 
Then jengeni sasa kwanini mnashindwa Jenga kama mnahela ?
Unahisi Tanzania kuwa na electricity production ya over 4000 hakuna demand ? Hapo bado tunaongeza Tena na kinyerezi iii 600mw .
Hamna uwezo wa kutujenga ndo maaana mnaopt kununua . Mnaproject kibao za umeme mme- stag🤣🤣🤣🤣
Tunajenga ama unadhani lazima tukuambie, your demand is very low than supply, that's why mulizima 5 hydropower plants to prevent idle power.
 
Back
Top Bottom