Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida ya siasa za TZ,yan ili uwe mpinzani we pinga kila kitu 😀
WaTZ wengi hawana vyama. Na si kwamba watu siyo waelewa.

Wanasiasa waachwe wawe huru, wazungumze wananchi waamue.

Ukiruhusu kelele zinasaidia kuponya nchi na kulinda amani na usalama.

Inasaidia CCM kutafuta wagombea bora.

Lakini pia inasadia watu kujua madaraka yanapatikana kwa njia ya kura ili waheshimu wananchi..

Congo hawaamini Kura, wanapigana msituni.

West Afrika hawaamini kira, mapinduzi kila siku.

Sisi tunaamini kura, mazungumzo, na mahakama kulinda amani.

Ukiziba kila chocho, unakaribisha wahuni.

Mfano, Mwanasiasa mmoja kaamua kuingia msituni, maadui wote wa nchi kama Kenya, Rwanda, na wazungu wakampa nguvu??

Hata hayo madini na gesi utachimba???

Utaanza kutoa bure ili upewe silaha upigane.

Haya mambo ni kwaajili ya usalama wa nchi. Hakuna mantiki yoyote ya CCM kulazimisha ushindi wa 100%
 
Bora umeongea.
CCM ilitakiwa ibadili sera zake kama sio kuzibadili basi washuke hapo juu waruhusu wengine watawale kwa sera mpya jengefu.
Sera za CCM outdated na za kipuuzi na bado wanazidi kuruhusu viongozi wapuuzi waingie madarakani.
Viongozi wapuuzi wakiongezeka zitaendelea kutungwa sera za kipuuzi na nchi itaendeshwa kipuuzi puuzi.
Unakumbuka sera ya Salma Kikwete kusema kuwa wanandoa wa viongozi wastaafu nao wapewe mafao ama walipwe mafao ya kustaafia ambayo itakua 25% ya mshahara wa kiongozi husika!?
Nambie kaka huu upuuzi gani huu!?
Halafu bado kuna watu wanaitetea CCM kifala fala.
 
You didn't get his point. Literature in use here. He didn't mean that Arusha stadium is in the Serengeti. He simply meant that you are building that stadium in the middle of the bush where people will have a difficult time attending matches if your attendance of CHAN matches in the middle of your major cities is anything to go by.
The same response applies to him and you. It's not as far as you are trying to put it.
So you think people do not attend matches because of distance? Not poverty again? Few pages back I tried to explain the real reason of poor attendance. Simply put football politics.
 
Bora umeongea.
CCM ilitakiwa ibadili sera zake kama sio kuzibadili basi washuke hapo juu waruhusu wengine watawale kwa sera mpya jengefu.
Sera za CCM outdated na za kipuuzi na bado wanazidi kuruhusu viongozi wapuuzi waingie madarakani.
Viongozi wapuuzi wakiongezeka zitaendelea kutungwa sera za kipuuzi na nchi itaendeshwa kipuuzi puuzi.
Unakumbuka sera ya Salma Kikwete kusema kuwa wanandoa wa viongozi wastaafu nao wapewe mafao ama walipwe mafao ya kustaafia ambayo itakua 25% ya mshahara wa kiongozi husika!?
Nambie kaka huu upuuzi gani huu!?
Halafu bado kuna watu wanaitetea CCM kifala fala.
Kaka. CCM haishuki iwe leo au Kesho. Upo na choice ya kuchagua chama kingine cha siasa.

Badala ya vyama vyenu kujenga Taasisi kama ilivyo ya CCM, mmewekeza kwenye activism na chama cha matukio.

Vyama vinavyosubiri wanaoachwa na CCM waende wakagombee Urais, Ubunge na Udiwani!!!! Hamuwezi kufanya recruitment ya wanachama wenu?

Hakuna opposition hapa TZ. Tulikuwa tunategemea ACT lakini nao wapi.

Walimuweka Membe kutoka CCM
Sasa hivi Mpina tena aligombea ubunge na akakatwa CCM leo hii anagombea urais ACT.

Je, wakulaumiwa ni CCM au oppositions.

Mnajuaje kama mpina siyo pandikizi wa CCM kuua ACT?
 
Same the response applies to him and you. It's not as far as you are trying to put it.
So you think people do not attend matches because of distance? Not poverty again? Few pages back I tried to explain the real reason of poor attendance. Simply put football politics.
Leo wanaingia kwenye website ya kununua tickets na kuweka idadi ya tickets wanazonunua then wana screenshot lakini hawazinunui halafu na tickets walizo nunua hazionekani kwa sababu ni uongo hawajazinunua, media zao zinaripoti na kujadili huu ongo.
Siku ya mechi Ijumaa watasema Watanzania hawajaudhuria uwanjani kuangalia mpira kwa sababu wao wamenunua tickets zote.
 
Waoneeni huruma. Hawa watu wana roho ya kutu sana. Hizi few years vitu vizuri vya Tz vimewaumiza sana ndio maana wanasubiri kitu kiende vibaya washangilie.
 
Hakuna kitu kama hicho kaka. NI ile tabia ya wakenya kujipa umuhimu kwa vitu visivyowahusu. Wakenya ni jobless wanatafuta namna ya ku trend kwenye mitandao. Nchi hiyo ilisha kufa kaka.

Hakuna mtu mwenye uwezo wa kununu tiketi ovyo ovyo kwenye mifumo ya Tanzania.

1. Kama ni foreigner kutoka nchi nyingine lazima atumie passport.
2. Kuna dedicated ticket chache kama 1000 kwa foreigners.
3. Tiketi zingine zote zilizobaki ni kwaajili ya watanzania.
Hii hapa ni Ticket System ya Tanzania is Available:

1755718881527.png

Hii hapa ni Ticket System ya Kenya Not Available:

1755718946902.png

NB: Wakenya wanapiga kelele ili kuwahamisha wananchi wao wasishughulike na madhaifu yao.
Kwenye ICT kenya ipo nyuma sana.
 
WaTZ wengi hawana vyama. Na si kwamba watu siyo waelewa.

Wanasiasa waachwe wawe huru, wazungumze wananchi waamue.

Ukiruhusu kelele zinasaidia kuponya nchi na kulinda amani na usalama.

Inasaidia CCM kutafuta wagombea bora.

Lakini pia inasadia watu kujua madaraka yanapatikana kwa njia ya kura ili waheshimu wananchi..

Congo hawaamini Kura, wanapigana msituni.

West Afrika hawaamini kira, mapinduzi kila siku.

Sisi tunaamini kura, mazungumzo, na mahakama kulinda amani.

Ukiziba kila chocho, unakaribisha wahuni.

Mfano, Mwanasiasa mmoja kaamua kuingia msituni, maadui wote wa nchi kama Kenya, Rwanda, na wazungu wakampa nguvu??

Hata hayo madini na gesi utachimba???

Utaanza kutoa bure ili upewe silaha upigane.

Haya mambo ni kwaajili ya usalama wa nchi. Hakuna mantiki yoyote ya CCM kulazimisha ushindi wa 100%
Ewaa,hii amsha amsha ndio inafanya ccm na wenyewe wasijisahau,kikubwa na kizuri muasisi

wa taifa letu akutufanya maboya kama kunyan,kunyan politician hata akiwa mwizi ila ni wa kabila lake atamuunga mkono,nasikia toll ya express way 50% anachukua mtoto wa mama ngina,mazuzu yametawaliwq na familia 1 hadi jina la nchi imetoka kwenye familia ya mama ngina,kunyan ni wangese
 
View: https://youtu.be/rKr6INgTVG8 huyu mamdogo wa kiganda video yake imenifurahisha,imeonyesha gates zote za mkapa,na namna watu wanavyoingia kwa scan,kunyan wanakuambia washanunua tiketi zote za taifa stars na morocco,kunyan maskini hawajui TZ huwezi kununua tiketi bila ya kua na n card na namba ya simu ya TZ,kingine kunyan angalieni hapo karibu na mkapa kama kuna makazi ya watu kama mnajidanganya
 
Wamezoea kudanganyana na kutafuta Trend kwenye mitandao. Kenya ilishakufa
 
Back
Top Bottom