Sasa hii ina tofauti gani na SinoTan Industrial Park??
Au
Modern Industrial Park?
Sasa hii ina tofauti gani na SinoTan Industrial Park??
Hivi wewe ulirogwa au ndio uchizi umekupanda kichwani.? 🤣🤣🤣🤣🤣 kweli ullingannishe the entire city of dodoma na hii street..?
Bana hapo karibu Nextgen, hata sikua nimeona. 🤣🤣🤣Hapo si ni Nairobi?
Yani anakuringia na picha za Nairobi anasema ni za kwao. 🤣🤣🤣Bana hapo karibu Nextgen, hata sikua nimeona. 🤣🤣🤣
mwambie atuoneshe hio airbus inayobeba 600 paseengers 😂😂😂😂
Huyo farmers ni mtanzania pure mgogo wa huko Dodoma
Kwa nini mnapenda Uongo na kujidanganya.
Tanzania fully Documentary YouTube hapa.
Kwanza mara ya kwanza citizen tv walidanganya ati grape farming in kenya lakin video anaonyesha central Tanzania.
View: https://youtu.be/CQdlC5gbKK8?si=cG45i7fA5BGN4K3k
Baada ya engagement na watu kumshtukia basi wakabadilisha title. Imagine media kubwa kama citizen. Ndo maana Magufuli alilambisha matako kipindi fulani.
Kenyas mnaitamani sana Tanzania basi tu hamna namna.
View: https://youtu.be/rCgahHyXTS0?si=Q926ie03sp1pFv2V
where is that 3b usd to be seen? 😂😂😂