Jana Marais wa Afrika wameitwa huko Japan. TZ kaenda Waziri mambo ya nje.Hakuna Njaa Tanzania Kenya ipo pia.
Hakuna slums Tanzania Kenya zipo
Ruto amesikia Japan wamesema wanataka Mchele.
Amesema atawapelekea.
Sasa huo mchele wa kwenda kuuza Japan atautoa wapi?
Jamaa ni matapeli Juu mpaka chini.