Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ticket zinauzwa kisiasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
yani mtu mmoja ananunua ticket zote alaf anagawa kwa watu wanaomkubali


View: https://x.com/fgaitho237/status/1957302229985034599?s=46

Ungekua mwerevu si kufuata tu tweets za watu kama ngombe ungekua unajua mashabiki tu 27000 ndo waliruhusiwa hio game. Nyinyi hamjazuiwa, kuna game mlipewa tiketi 10000 za bure na bado hamkufikisha robo ya uwanja
Hii ilkua jana
1000063585.jpg
 
Halafu nyang'au Teargass asivyokuwa na akili akarukia kabisa ha ha haπŸ˜‚

Cc: Mimi Wewe Yule
Uzuri siku hizi watu wamewashtukia kama ni waongo,hata siku 1 huwezi kukuta mTanzania akidanganya kuhusu kitu cha kunyaland ni cha kwetu,hao wangese sasa,ndio maana ile ban inawauma mno,kikubwa serikali ile ban iifanye kwa vitendo
Screenshot_20250818-212030.jpg
 
Uzuri siku hizi watu wamewashtukia kama ni waongo,hata siku 1 huwezi kukuta mTanzania akidanganya kuhusu kitu cha kunyaland ni cha kwetu,hao wangese sasa,ndio maana ile ban inawauma mno,kikubwa serikali ile ban iifanye kwa vitendoView attachment 3445603
Kuna wakati mtoto wa Odinga alidai kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya ha ha haπŸ˜‚

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Kiingereza inakupiga mboro hadi huelewi positive news. 🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ matajiri wanataka kununua umeme tanzania kukwepa blackout

umeona sasa zile data za kupika vile zinafanya kazi hua munadanganywa muna umeme mwingi kuliko dunia nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom