NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,009
- 19,181
Ati 99% ya Dar haina sidewalks. Hiv kwa nini mnapenda Uongo?
Yani kenyas na lies ni chupa na mfuniko.
BRT roads zote za Dar zaidi ya 60km sasa zina wide sidewalks
Mfano Tazama phase 3. 23km na ina sidewalks barabara yote
View: https://youtu.be/qkjP3aufXk4?si=VTcQkNluiMtD5hv8
Thika road pekee ni 60km na ina side walks all along.