ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ni kipi bora government ya TZ kulipia wananchi wake waingie uwanjani kuangalia foorballHawa ni wale walilipiwa tickets na serikali. Ama unasahau serikali Yao ilinunua 10,000 tickets kuepusha aibu?😂😂
Hakuna mtanzania anayekosa 2k. Alisikika masikini wa Tandale akijifarijiHakuna Mtanzania anayekosa 2k, wewe shinda hapo na ukumbafu wa kuvunja geti kwa kukosa pesa ya ticket ya kuangalia mpira.
These are the only Tanzanians who can afford 3k a day on the lower deck. Hawafiki hata ishiriniKuipata elfu tatu tz ni rahisi mno kuliko kupata 50 bob kenya money, there’s no a single Tanzanian who can’t afford 3k a day.
Hivi vitu ni vigeni huko kwenu sasa unaturingishia. .? 🤣🤣🤣Tangu hii tournament ianze, makwapa haijawai ona maji, ju wanajua it will flood like nonsense.
![]()
![]()
Wanapigwa na Burundi, yani Burundi of all countries inawapiga kama burukenge. 🤣 🤣 🤣
Wewe sio timamu enda ukojoe ulale, ni usingizi ndio inakusumbua. 🤣🤣🤣These are the only Tanzanians who can afford 3k a day on the lower deck. Hawafiki hata ishirini View attachment 3437939
Vya kwenu viko wapi? Kasarani was built in the 80's Makwapa ilijengwa juzi tu. Huwezi niambia kitu we mbilikimo.Hivi vitu ni vigeni huko kwenu sasa unaturingishia. .? 🤣🤣🤣
could any tanzanian explain to us kenyans and Ugandans why it seems like there is low attendance in Tanzania? Banter asideHakuna mtanzania anayekosa 2k. Alisikika masikini wa Tandale akijifariji
View attachment 3437934
🤣🤣🤣🤣 kasarani imepata hio juzi tu budaa. And installation ya hizo bomba ni shoddy.Vya kwenu viko wapi? Kasarani was built in the 80's Makwapa ilijengwa juzi tu. Huwezi niambia kitu we mbilikimo.
Yaani hadi leo wewe umejitokeza huko mafichoni? Duh ama kweli mambo yamekuwa noma sana😂could any tanzanian explain to us kenyans and Ugandans why it seems like there is low attendance in Tanzania? Banter aside
Yaan ushamba unawazidi🤣🤣🤣🤣🤣. Bado mnasafari ndefu sana.Tangu hii tournament ianze, makwapa haijawai ona maji, ju wanajua it will flood like nonsense.
![]()
![]()
Hawajui kuwa ya mkapa in underground irrigation system.Hivi vitu ni vigeni huko kwenu sasa unaturingishia. .? 🤣🤣🤣
Wamewekewa bomba za bei rahisi wanataka kushindana na mfumo wa cooling ambao uko underground wa mkapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kasarani imepata hio juzi tu budaa. And installation ya hizo bomba ni shoddy.