Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi jamani nawaonea huruma wakenya.

1754719583050.png
 
Sio lazima, kunaweza kuwa updated hivyo hivyo, ona mfano Japan, mitaa ni membaba hata gari mbili hazipitiki ila ziko paved vizuri na sewage system. Ni uamuzi tu na uthubutu.
Sio Japan tu hata western nations kuna sehemu ancient towns zina barabara byembamba zimepindapinda na walichofanya ni upgrading those towns!
 
Wao wenyewe wako COMESA na IGAD lakini kutwa, ooh Tanzania iko SADC😄

TZ ni Mwanzilishi wa SADC hata huyo South Africa alitukuta.

Wivu utawaua.
Wapumbavu sana hawa jamaa na wanajua hawawezi kuanzisha ugomvi na sisi tukifunga border wamekwisha! Over 70% ya mizigo yao kwenda Southern of Africa inategemea barabara zetu!
 
Wapumbavu sana hawa jamaa na wanajua hawawezi kuanzisha ugomvi na sisi tukifunga border wamekwisha! Over 70% ya mizigo yao kwenda Southern of Africa inategemea barabara zetu!
SADC ina soko kubwa la GDP ya US$847 billion in 2023.

EAC ndionkwanza iko US$163.4 billion, ukijumlisha ya Kenya ya kupika.

Wao wakae watulie tuishi kama majirani. Kujaribu kufikiri wanaweza kutufanya kitu ni uongo.
 
Wapumbavu sana hawa jamaa na wanajua hawawezi kuanzisha ugomvi na sisi tukifunga border wamekwisha! Over 70% ya mizigo yao kwenda Southern of Africa inategemea barabara zetu!
Kwanza wanalalamikia nini? Hayo makubaliano tuliafikiana lini?
Si walikuwa wameshaanzisha COW yao wakatuachia Burundi yetu, 🤣🤣🤣
Januari 1, 2014: Kenya, Uganda, na Rwanda (wakati huo wakijipanga kama "Coalition of the Willing" – COW) walianzisha rasmi Single Tourist Visa inayoruhusu watalii kusafiri kati ya nchi hizo tatu kwa viza moja yenye gharama ya $100 na inayotumika kwa miaka 90 ya kuingia mara nyingi (multiple-entry)
 
Back
Top Bottom