Hao Wataita wanaishi ukivuka Holili, kuna kimji kinaitwa Voi, Taita-Taveta.Hata mimi nashangaa sana.
Nina demu wa Kikenya ni mtaita oyaaa alimsifu bro wake kajenga nyumba akiwa na 27 years.
Nikamwambia embu nioneshe pic,lamamayeee mabati from bottom to the top.
Nikacheka kimoyo moyo nikamwambia mpe hongera kajipata.
Kumechokaaaaa.
Na huwa wanapigwa NJAA, wanaenda kuomba ndizi Kilimanjaro.