TZ inapakana na nchi 8, ila wao kelele kila siku.Halafu ifike hatua sasa kunyan waelewe wao sio majirani zetu pekee,so waache kiherehere cha kujifanya wanatujua sana
Shida ya kujipa ukubwa ambao hawana.
TZ inapakana na nchi 8, ila wao kelele kila siku.Halafu ifike hatua sasa kunyan waelewe wao sio majirani zetu pekee,so waache kiherehere cha kujifanya wanatujua sana
Yan ni shida aisee,kila siku ni wao tu,now wanataka kuingilia hadi sheria za ndani tulizojitungia kwa maslahi yetu,wangese sanaTZ inapakana na nchi 8, ila wao kelele kila siku.
Shida ya kujipa ukubwa ambao hawana.
Ati kwa miaka 90 imekuwa title deed?Kwanza wanalalamikia nini? Hayo makubaliano tuliafikiana lini?
Si walikuwa wameshaanzisha COW yao wakatuachia Burundi yetu, 🤣🤣🤣
Januari 1, 2014: Kenya, Uganda, na Rwanda (wakati huo wakijipanga kama "Coalition of the Willing" – COW) walianzisha rasmi Single Tourist Visa inayoruhusu watalii kusafiri kati ya nchi hizo tatu kwa viza moja yenye gharama ya $100 na inayotumika kwa miaka 90 ya kuingia mara nyingi (multiple-entry)
Do you understand English as a language and what the writer meant to say?View attachment 3435913![]()
Inequality, Poverty, and Injustice; a problem of too much and not enough.
The above image: “Depicting a topic as expansive as inequality in a single frame is a challenge, especially since unequal experiences are often lived adjacently, but separately. Photographer Johnn…www.animasoul.org
Angalia comment section mlivyo na mauchungu.Fungeni tena