Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Retaliation cards are on the table....kenge kinyanjui alisema hapaa...zile cards zimegeuka magarasa nini?

Kama kawaida they tuck in their tails... Malofaa

Screenshot_20250808-183025.png
 
The Tanzania Mercantile Exchange (TMX) is the first commodity exchange market in Tanzania
Hapa unaweza kununua mazao ya kilimo popote ulipo duniani. Wakenya wanaandamana tu.



Hii ndio inaitwa real digitization. Wakenya wanakodoa macho tu. Hakuna kununua mazao mashambani TZ.
Na bei tunaona hata tukiwa barabarani na mzigo uwe wa Manyara au Lindi 😎

IMG_0143.jpeg
 
Leo katika kupita mitandaoni nikakuta clip ya goli la stars mechi ya juzi,halafu kuna mkunya kacomment "nyie watanzania mzifunge timu zingine,siku mkiifunga kenya mkatafute uwanja wa kuchezea match zenu,mimi nikamuuliza kwenye comment,kwani huo uwanja upo wapi,jamaa bila aibu akadai pale ni kisirani,kunyan wengi wamejichimbia kibera na hawajui kuhusu nchi nyingine,maku kweli hawa jamaa
 
Back
Top Bottom