Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Because the project is still progress, the road is under construction and the transshipment business is picking up, shipping lines have started to set base at lamu port.
Kama issue ni just port, tuna Mtwara Port inapokea meli za Cashews na Tanga inapokea mizigo kila siku
 
Kama issue ni just port, tuna Mtwara Port inapokea meli za Cashews na Tanga inapokea mizigo kila siku
Does any of those port you've mentioned have a quay length of 1200 meters? Tanga haina hata STS Gantry crane hata moja.
 
Attendance kwenye game ya Tanzania ilkua only 14,000 wakati kenya ilkua 48000 na Uganda 35000.
Footballing nation ni domo domo tu wanajua
Kumbe 48,000 ndo kwenu mmevunja record , wengi wenu mnaenda kuangalia uwanja , kabla ya hapo hakuna record yoyote mliyowahi kufika hata 35,000
Nikimaanisha Toka Dunia iumbwe Kenya haijawahi fikisha revenue ya hata 10mil sasa Leo kujaza hako kauwanja mnaona mmekuwa maarufu🤣🤣🤣🤣🤣
The highest attendance ya Tanzania on record is 52,000 nitafutie match ya Kenya iliyowahi fikisha hiyo attendance

Hapo mpaka wanasiasa wanawanunulia ticket. Ingefaa mngekuwa mnaleta records kabla ya chan sababu Tanzania hakunaga mahaba na taifa stars hasa baada ya kutokuwa inaperform vizuri miaka ya nyuma
Subiria twende kwenye ligi za vilabu tuwaone kama hata robo ya uwanja mtafika
 
Back
Top Bottom