Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargass nairobae mwaiofhawaii NairobiWalker

Mwenzenu hata usingizi hakupata. Tuoneshe Mtanzania anaenda kucheza timu yeyote Kenya akiongea hivi 😂
It’s called being humble … something you might not comprehend… ama unataka aseme nini , “when we were about to touch the ground, I peeped through my window and was astonished by the level of poverty infestation in this city as far as my eyes could see but Simba is a great team “… there I fixed the truth for him …🤣🤣🤣🤣
 
Kumbe 48,000 ndo kwenu mmevunja record , wengi wenu mnaenda kuangalia uwanja , kabla ya hapo hakuna record yoyote mliyowahi kufika hata 35,000
Nikimaanisha Toka Dunia iumbwe Kenya haijawahi fikisha revenue ya hata 10mil sasa Leo kujaza hako kauwanja mnaona mmekuwa maarufu🤣🤣🤣🤣🤣
The highest attendance ya Tanzania on record is 52,000 nitafutie match ya Kenya iliyowahi fikisha hiyo attendance

Hapo mpaka wanasiasa wanawanunulia ticket. Ingefaa mngekuwa mnaleta records kabla ya chan sababu Tanzania hakunaga mahaba na taifa stars hasa baada ya kutokuwa inaperform vizuri miaka ya nyuma
Subiria twende kwenye ligi za vilabu tuwaone kama hata robo ya uwanja mtafika
Hizi domo domo ndo nimetaja.. tu visababu wakati mnatia aibu
 
Hizi domo domo ndo nimetaja.. tu visababu wakati mnatia aibu
Vipi mara ya mwisho kufikisha hiyo idadi ni lini maana sisi Kila mwaka tunajaza ,ila kwenu lazima iwe ndoto kwa maana ndo mara ya kwanza kufikisha hiyo idadi🤣🤣🤣🤣.
Na bado Kuna option kibao Cha kuangalia mpira hata nikiwa kwa daldala🤣🤣🤣🤣
Kenya nje Azam kuwa kwenye Banda la Mpira au uwanjan can you access mpira kwenye matatu?
60% ya luxury bus ziko connected na Azam media kwa safari nzima
 
It’s called being humble … something you might not comprehend… ama unataka aseme nini , “when we were about to touch the ground, I peeped through my window and was astonished by the level of poverty infestation in this city as far as my eyes could see but Simba is a great team “… there I fixed the truth for him …🤣🤣🤣🤣
Chni hizo masikini ndio zinainua ligi yenu matajiri. Nhci hizo masikini ndio zimewaajiri kwa maelfu na nyi matajiri hamna hata uwezo wa kuajiri watu wenu wala uwezo wa kujilisha.
 
images-2025-08-08t160701-040-jpeg.3435890
fb_img_1754657746811-jpg.3435867

Nikiangalia hizi picha mbili, Kenya's good side is better than Tanzania's good side. Kenya's bad side is also better than Tanzania's bad side. Tanzania's good side doesn't even have paved roads. 🤣 🤣
Hatukunyi kwa mifuko ya Rambo sie!
 
Kumbe 48,000 ndo kwenu mmevunja record , wengi wenu mnaenda kuangalia uwanja , kabla ya hapo hakuna record yoyote mliyowahi kufika hata 35,000
Nikimaanisha Toka Dunia iumbwe Kenya haijawahi fikisha revenue ya hata 10mil sasa Leo kujaza hako kauwanja mnaona mmekuwa maarufu🤣🤣🤣🤣🤣
The highest attendance ya Tanzania on record is 52,000 nitafutie match ya Kenya iliyowahi fikisha hiyo attendance

Hapo mpaka wanasiasa wanawanunulia ticket. Ingefaa mngekuwa mnaleta records kabla ya chan sababu Tanzania hakunaga mahaba na taifa stars hasa baada ya kutokuwa inaperform vizuri miaka ya nyuma
Subiria twende kwenye ligi za vilabu tuwaone kama hata robo ya uwanja mtafika
Ushamba tu wa uwanja,hamna kingine
 
Kwa Tanzania bado sana upande wa barabara za mitaani.
Kwanza tunahitaji kurekebisha mipango miji ya mitaa ndio barabara zipite.
Sio lazima, kunaweza kuwa updated hivyo hivyo, ona mfano Japan, mitaa ni membaba hata gari mbili hazipitiki ila ziko paved vizuri na sewage system. Ni uamuzi tu na uthubutu.
 
Kwa Tanzania bado sana upande wa barabara za mitaani.
Kwanza tunahitaji kurekebisha mipango miji ya mitaa ndio barabara zipite.
Sio lazima, kunaweza kuwa updated hivyo hivyo, ona mfano Japan, mitaa ni membaba hata gari mbili hazipitiki ila ziko paved vizuri na sewage system. Ni uamuzi tu na uthubutu
 
Retaliation cards are on the table....kenge kinyanjui alisema hapaa...zile cards zimegeuka magarasa nini?

Kama kawaida they tuck in their tails... Malofaa

View attachment 3436106
Huwezi kulilia Ku roam free in another country like it's your birth rite halafu watu wakuchukulie serious, haiwezekani. Wani wanacholilia ni kwamba Tanzania iwe kama moja ya county yao, yani unaingia Tu, bila hata passport, unakaa unavyo taka, unalima unavyotaka, and the worst part is unafanya vyote hivyo bila kulipa uhuru, maana hutambuliki kisheria huku.

Waende zao mbwa hizi!!
 
Back
Top Bottom