Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We are halfway there. Nyinyi mko wapi?
Ona Mwanza your second biggest city bado kuna main road za vumbi. 🤣🤣🤣


View: https://x.com/TBoundBuses/status/1953401668688642160?t=1TrZLkEFebN61ciY8pVZXw&s=19

Wakati ninyi mnashikilia vitu visivyorudisha faida kwa raia Tanzania tunawekeza kwa raia Moja kwa moja.
Miundombinu ya maji, miundombinu ya kilimo, miundombinu ya kadha wa kadha.
Sasa sijui hao maskini wenu wa Mukuru watakula barabara!?
Wakati raia wenu wanalilia ukosevu wa ajira Tanzania inatoa mikopo isiyo na riba kupitia halmashauri zake ili kuinua vijana.
Ninyi endeleeni na umbugila tope wa barabara na flyover.
 
Ohhhh sijui tukona BRT, tukona stadiums, tukona fans, we will host the best tournament. 🤣 🤣 🤣 Kwa ground mambo ni different, hawana hata 50 bob ya kuwatch games. Huko bongoslum hata travelling fans hawako.
Leo uko šŸ”„ā€¦ šŸ¤£šŸ¤£ā€¦umemurder wazee wa B hara T .. Have mercy please..🤣🤣🤣
 
Screenshot_20250808_073432_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom