Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kariakoo iko wapi mbugila tope wewe!?
Hapo Kuna Kijitonyama, Victoria na Makumbusho.
Aya tuoneshe Kariakoo iko wapi hapo!?
TPA inaonekana vizuri sana kwenye ile picha. Sisi sote tunajua Kariakoo na TPA ni pua na mdomo
Dofoto_20250807_144952420.jpg
 
Nyinyi hamjui na hampendi ball pia. Ni midomo na kelele Tu.
Bwege nenda kashangae jua kali renovation,na mashindano yenyewe yakiisha uwanja mnafugia kuku maku,sisi tuliushangaa mkapa stadium miaka 15 iliyopita and still uko vizuri na utaendelea kuhost match kibao za mashindano makubwa,TZ msimu timu zake zote 4 zitazoshiriki michuano ya CAF zimejiwekea kufika fainali
 
Umaskini umewafanya msijaze Stadium. CAF will never repeat the mistake they did again.
 
Back
Top Bottom