Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo katika kupita mitandaoni nikakuta clip ya goli la stars mechi ya juzi,halafu kuna mkunya kacomment "nyie watanzania mzifunge timu zingine,siku mkiifunga kenya mkatafute uwanja wa kuchezea match zenu,mimi nikamuuliza kwenye comment,kwani huo uwanja upo wapi,jamaa bila aibu akadai pale ni kisirani,kunyan wengi wamejichimbia kibera na hawajui kuhusu nchi nyingine,maku kweli hawa jamaa
Huyo nyang’au inawezekana kabisa ni Teargass😎
 
This is a random 30 floor tower upcoming in Westlands that no one knows anything about. Hivi pale bongolala saahii 30 floors inaweza rise bila kelele kweli? 🤣 🤣
img_6862-jpeg.9729916
 
This is a random 30 floor tower upcoming in Westlands that no one knows anything about. Hivi pale bongolala saahii 30 floors inaweza rise bila kelele kweli? 🤣 🤣
img_6862-jpeg.9729916
Buildings over 30 floors that currently are under construction in Nairobi are uncomfortable.

Kule vumbistan Hadi gorofa za 2 floors wanapigia kelele.😂😂
 
Back
Top Bottom