The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ndiyo mara yao ya kwanza na hawatoboi leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naambiwa Hapa Kunyan hawajawahi kufuzu michuano hii
Wanacheza kwa Mgongo wa Muandaaji
Ndiyo mara yao ya kwanza na hawatoboi leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naambiwa Hapa Kunyan hawajawahi kufuzu michuano hii
Wanacheza kwa Mgongo wa Muandaaji
Hawa jamaa Wanajua ni RiadhaApa leo kuna kitombo live 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3435194
Hata siku ile yn walikuwa wanajikaza kweli kweli, mpira wenyewe kama wanacheza kwa magongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ushindi wa Tanzania unawafanya wacheze kwa presha. 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa jamaa Wanajua ni Riadha
Yanakimbia kimbia tu
Yes hawajawahi, CHAN 2020 tuliwafunga na kuwaondoa kwenye kinyanganyiro cha kufuzu. 😂😂😂Naambiwa Hapa Kunyan hawajawahi kufuzu michuano hii
Wanacheza kwa Mgongo wa Muandaaji
Mouthnation action zero wanasemaje kuhusu hili?
View: https://www.instagram.com/p/DNDJOxUM_YS/?igsh=M2ljbjlsMXJuajNz
Wanashindwa kuchinja.Angola nao wapuuzi tu
Mbuzi kisha Kaa Kibla
Yana niudhiWanashindwa kuchinja.
Wenzao Jana yaliwatokea puanKenya wamepark bus
Mwenye link ya kunyan wakiliwa kiboga aitupie hapa,azam max katoa channel zinaonesha CHAN kwa walio nje ya TZKenya wamepark bus
Tumia Cricfy AppMwenye link ya kunyan wakiliwa kiboga aitupie hapa,azam max katoa channel zinaonesha CHAN kwa walio nje ya TZ
Lakini bao mmekula😎