Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenye recent photos za Mathare anisaidie. Nataka nione kama kuna mabadiliko
Screenshot_2025-08-04-20-27-29-721_com.google.android.googlequicksearchbox.png
 
Pole dadaangu kwa taarifa itakayokuumiza, JNIA sahii ina handle 6 million passengers annually, according to 2024 reports 👇🏾View attachment 3431321
Kumbe alikuwa anadanganya? Sasahivi ni vyema kila wanachosema nianze kufuatilia nihakikishe kwanza.
Wanaleta story za jaba ilimradi tu kushinda mabishano. Hahaha very stupid people 😂😂
 
Kumbe alikuwa anadanganya? Sasahivi ni vyema kila wanachosema nianze kufuatilia a kwanza.
Wanaleta story za jaba ilimradi tu kushinda mabishano. Hahaha very stupid people 😂😂
Humu ndani tulikubaliana kwamba katika maneno 100 ya mkunya chukua neno moja tu, na lenyewe pia ulifanyie tafiti. Vibra ni vipumbavu 🤣🤣🤣 vitakulisha uongo.
 
Enyewe pumbavu ni pumbavu tu hawezi kusaidika. Gari zote hua zinatengenezwa kwa kitu inaitwa an assembly line. Kama hukuwai jua, basi umejua leo. Hizo parts unataja, chassis, engine, body frame, hua zinakusanywa zote from diferent car parts manufactures alafu zinaletwa kwa an assembly line line. Hapo ndio zinaunganishwa inakua gari. Haijalishi kama assembly line inatumia robots ama watu, the process remains the same.

Gari kama Toyota Supra 5, engine inakua designed by BMW lakini manufacturing na assembly inafanywa na Magna Steyr, ambao wamespecialize kutengeneza different car parts na bado wanafanya full assembly on behalf of established car brands kama Toyota.

Kwa hivyo usidhani Toyota hawezi kuagiza parts from other car brands ama third party manufacturer, Toyota ni kampuni kubwa sana na hawawezi tengeneza magari zao zote in house. Kuna zile wanaunda wenyewe, zingine wanapea third party manufacturers kama Magna Steyr na zingine wanasource parts wenyewe alafu wanapea CKD assemblers kama AVA.
Unadhihirisha ushamba wako.
Kuna magari kama Toyota supra na Toyota c-hr haya magari yameundwa na kama collabo naweza sema.
Kwasababu supra inatumia engine za BMW Z-4,na Toyota pamoja na BMW wana association kwenye hilo,ndio maana supra inaitwa mtoto wa BMW kwasababu inatumia engine ya Bmw Z4.
Ila magari mama yanayoundwa na Toyota pasi na association yeyote Ile mathalan Hilux, Camry,harrier kuanzia from scratch Kila kitu kinaundiwa pale.
Nenda kajifunze kuhusu magari ndio urudi hapa.
 
Back
Top Bottom