Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ki Protocol inaonesha kabisa Tanzania ni kubwa. Picha hii hapa

1754148948698.png
 
Yameshatokea! Tulivyo SEMA hapa kwamba Tanzania watatutia aibu na hii uLDC wait na slums kila kona. Sasa hii aibu Gani!!!!!!!
View attachment 3428664View attachment 3428665
Unapajua hapo ni wapi!?
Hapo Kuna container depot huo upande opposite Kuna chuo Cha DUCE.
Hakuna slums hapo.
Huo upande barabara imeharibiwa kwasababu ya malori.
Ngojea nikuletee picha zake uone.
 
Back
Top Bottom