President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
Mambo ya watoto hayo mdogo wangu. Tanzania tulishatoka huko siku hizi tunaongelea big investment
Mambo ya watoto hayo mdogo wangu. Tanzania tulishatoka huko siku hizi tunaongelea big investment
Mkapa ya wapi hii? Mnatengeneza picha ili mjifurahishe.Guns hasta aibu !?🥺
Yaani, hapa ndio watu wafunga foleni kuingia Mkapa, Kisha huoni aibu!? Mshazoea, enhe!?
View attachment 3428676View attachment 3428677
Si mlisema state house haina faida yoyote kiuchumi, Leo mmekarabati choo cha mkoloni mmeanza kujisifia, tena ni baada ya mkenya mmoja kuwasema kwamba Tz wana ikulu mbili nzr.State House Nairobi is going to be the best in Africa
View attachment 3428678
Kama ni SA basi ni picha ya zamani sn.But the picture is South African, Pretoria Central; not Kenya.
View attachment 3428829
Chill, Tumbili in town, The best 007 mwaiofhawaii NDINDA Mpwimbe instanbul, Marcelly, Kosugi AMARII jiwe jeusi
Mkund.u kunuka alitafuta picha ya mchana akasema uwanja haukujaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo masaa yote anawaza uchawi, inaonekana ametoka familia ya hovyo sn.Bibi yako mkisii alivyokuroga ukawa na akili mbovu na roho chafu inatosha
Ni wanawake ambao;Unaweza kuelezea kiufupi kwa nini hawafai kuolewa?
Duh, nilikuwa silijui hilo...Ni wanawake ambao;
1. Mara chache sana huzaa na mme wa ndoa hasa kama sio mtutsi mwenzake, mara nyingi hurudi nyumbani kwao kwa ajili kutungwa mimba na ndugu.( kuchepuka na ndugu ni kawaida).
2. Husumbua sana kwenye mahusiano maana hujiona ni wazuri, Wana madharau.
3. Kama mwanaume Huna uwezo wa kifedha kukuacha hawaoni shida hata kwenye ndoa.
Huyo ni mchawi pure,uoni alivyokua na roho chafuHuyo masaa yote anawaza uchawi, inaonekana ametoka familia ya hovyo sn.
Hii yote ni uhaba wa miradi
Sawa bongolalaHii yote ni uhaba wa miradi
Sasa unaturingia pavements kweli wewe zombie.? 🤣🤣🤣Sawa bongolala
Ni nini cha maana hapo? Ama kukuwa na empty stadium during opening match? Yani Watanzania wanaenda kuaibisha Africa Sana. No wonder Finals ililetwa Kenya, ni kama viongozi WA Africa walushajua how embarrassing Tanzanians are.
Bongolala kwani hamkua na pesa za tickets, why was the stadium not full?
View: https://x.com/ubctvuganda/status/1951691970729976039