Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni nini cha maana hapo? Ama kukuwa na empty stadium during opening match? Yani Watanzania wanaenda kuaibisha Africa Sana. No wonder Finals ililetwa Kenya, ni kama viongozi WA Africa walushajua how embarrassing Tanzanians are.
mm hua napenda wakat nakupa huduma unatakiwa utulize kalio sindano ipenye vzr 😂
 
Ni nini cha maana hapo? Ama kukuwa na empty stadium during opening match? Yani Watanzania wanaenda kuaibisha Africa Sana. No wonder Finals ililetwa Kenya, ni kama viongozi WA Africa walushajua how embarrassing Tanzanians are.
2nd game for kenya is already sold out by now, this was yesterday
1000059420.jpg
 
I wanted to say the same nikajua lazima Kuna mtu ataelimisha mbilikimo.😂
Yani watanzania ni wajinga hata hawajui ATM Card ni nini. Hao wanadhani hile ya kutoa pesa kwa booths pekee ndio ATM card😂😂🤣
 
To control the crowd. Kenyans will go to Kasarani in their numbers. Dunia yote itaelewa Leo why Kenya will host both Opening and Closing matches of AFCON.
uhehehe dar inajaza 62k pale mkapa na hakuna barabara inafungwa mjinga wewe ndio maana mkiambiwa nairobu ni ndogo sana imejikusanya sehem ndogo sana 690km sq alaf kuna over 5.5m people 😂😂😂😂😂
 
So CAF ndio waliwaambia msijaze Stadium?🤣🤣🤣😂
tanzania ndio inayoaminikana na CAF so far sio nyinyi mulotuaibisha mpaka CHAN ikasogezwa mbele 6 months ahead kisa hamujamaliza ku renovate uwanja wa kasarani 😂😂😂😂😂 kama renovation tu inawatoa kamasi nini mutaweza nyinyi eti mumefunika running track iliooza kutumia carpet even ku renovate running track pia ni shida kwenu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Back
Top Bottom