Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Automated Teller Machine. Do you know what a teller is? A teller is someone who transact your finances, in the case of ATM it's automated. Ebu sasa niambie hiyo N-Card yenu Nani huwa anafanya transaction wa hizo payments?

Shida yako ni ufala na ujinga. Ungebaki Yemen isome vizuri hungekuwa unatuonyesha wako kwa nchi ya watu wengine.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
uhehehhehehhehehhehehhehehehhehehhehehehhehehehhehehehehehehehhe data ya mwaka gani hio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Your demand is below Kenya mbali Sana. Kama wewe ni mwanaume then prove me wrong.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I have given you a free lesson. Next time usiende kujiaibisha mbele ya watu.
 
I have given you a free lesson. Next time usiende kujiaibisha mbele ya watu.
nimecheka sana leo wallah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
so N card ni ATM card????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
nimecheka sana leo wallah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
so N card ni ATM card????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Any payment card is an ATM. Najua maana ya ATM ndio hamjui nyinyi.
 
tanzania ndio mkereketwa wa mpira kwa jumuiya hii ukubali ukatae bila tanzania kenya isingeambulia chochote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sisi tuna GDP kubwa mbona hamujazuia ban yoyote baada ya ile ya kwetu mulivolia mukatoa mpaka kamasi
Kama game inainvolve timu yenu ipo empty, na je hizi game zingine? Utaona game ya Morocco na angola leo itajaa.
 
Mwaka Kesho.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kweli tanzania inawanyima usingizi
 
So hao wakenya ndio waliwafanya msijaze Stadium?
Tanzania ipo katika mkoroge wa kisiasa,kutokujaza uwanja haimaanishi Tanzania hatuna pesa ama ni vipi.
Bali sasa hivi Kila kitu raia tunakichukulia kisiasa.
Kama Tanzania tunaifuata timu ya klabu hadi Morocco na tunajazana sembuse hapa hapa uwanja wa Taifa?
Hivi unajua kuwa CAF imeipa tuzo Tanzania ya Kuwa na mashabiki Bora!?
 
Mbona hamjapewa finals basi? Kelele mingi na hamuezi lipa Ksh 50 kuenda kuwatch ball, sasa mkilipishwa Ksh 200 kama Kenya sio hiyo Hadi coach atakataa kukuja Stadium?πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzania ni maskini hadi wanalipishwa 50 kuingia uwanja πŸ˜…
Yani hadi CAF wanajua ni nchi gani maskini
 
Back
Top Bottom