Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kariakoo kuna underground tunnels nyingi hazina hesabu linking roads on either side of the streets.
Do they have shops? Mbona nyinyi watanzania mnakuanga masala hivi? Just a simple statement mnashindwa kuelewa.
 
Wilaya ya Babati, Manyara. Kenya hebu tuonesheni za kwenu nje ya Nairobi tucheke
1753692106499.png
 
Ikikimilika iwe ya mkoa.

Msamvu iwe stand ya daladala au bustani ya wazi.
Hapana aisee kutakua na congestion kubwa sana ikiwa hivyo.
Msamvu Wacha ibaki kuwa stendi ya mkoa hii Wacha iwe stendi ya daladala na magari yaendayo Dodoma road na kwingineko.
Ukishuka hapo SGR aisee wengine tunaoenda Dumila tunateseka kwa usafiri.
 
Back
Top Bottom