Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa serikali apo Kudustani inafanya nini KQ?
Gharama ya dry lease ya b787-8 kama waliyonayo Kq almost 14mil usd kwa mwaka, imagine wangekuwa wamenunua zao hasa baada ya kuwapo sokoni kwa muda mrefu wangepata faida ya kuzinunuq kwa wingi kwa hata nusu ya bei kama wanavyonunua Qatar au Ethiopian airways, ila mpaka leo hawana hata ndege moja ambayo haidawi , almost 40 years of operation
 
kwavile ni wao wametafuta investor! Huwezi kulazimisha!
Kwani investor
Zambia Watapata Mafuta directly kutoka Angola na baadae Namibia Kwa njia ya mabomba.

Sisi tutatoa wapi? Uganda wakijenga refinery tutanunua ya kwao Kwa bei nafuu kuliko ya kutoka huko Arabuni.
Kwani sisi hatuwezipata investor hao. Sisi tuna mafuta. DRC kuna mafuta. South Sudan kuna mafuta. Kwanini tusiongee nao. Tukajenga refinery on percentage wao tunauziana fluid oil tunasafisha tunauzia lakini tunawawekea parceges za kwenda Asia na ulaya kupitia indian ocean.
 
Na kwanini tufikirie kujenga refinery ya mafuta badala ya kufikiria kujenga mabomba ya kusambazwa gesi ambayo itaweza tumika kwenye magari na tayari tuna gesi yetu ? Uchumi wa mafuta unaelekea ukingoni hasa kutokana na bei ya mafuta inavyozidi kupanda.
Huko mbelen mahitaji ya magari ya umeme na gesi yanaaenda kuongezeka sana inabidi kufikiria miaka 20 mbele kuanzia sasa..
 
TIPER ilikuwaga inafanya kazi hizo lakini ilikufa kutogana na changamoto za IMF. Tumewahi kuwa nayo. Hatuwezi kufanya kila kitu kwa wakati mmoja. Waache na wengine wafanya. Isitoshe lipo bomba la TAZAMA.
 
Na kwanini tufikirie kujenga refinery ya mafuta badala ya kufikiria kujenga mabomba ya kusambazwa gesi ambayo itaweza tumika kwenye magari na tayari tuna gesi yetu ? Uchumi wa mafuta unaelekea ukingoni hasa kutokana na bei ya mafuta inavyozidi kupanda.
Huko mbelen mahitaji ya magari ya umeme na gesi yanaaenda kuongezeka sana inabidi kufikiria miaka 20 mbele kuanzia sasa..
Mafuta hayawezikosa soko kaka. Kinachofanyika ni kupunguza matumizi. Matumizi makubwa ya mafuta ni kwenye viwanda. Migodi. Barabara za lami. Chemical. Ili uwezewin kwenye mafuta ni lazima ufanye deal na cartel. Na sisi Tunayo kampuni ya Total ambayo tunawezadeal nao. Gas bado ni issue za kufikirika.
 
Kwani investor
Kwani sisi hatuwezipata investor hao. Sisi tuna mafuta. DRC kuna mafuta. South Sudan kuna mafuta. Kwanini tusiongee nao. Tukajenga refinery on percentage wao tunauziana fluid oil tunasafisha tunauzia lakini tunawawekea parceges za kwenda Asia na ulaya kupitia indian ocean.
muulize mama Kizimkazi! Ila huwezi lazimisha refinery yao iwe Bongo! Kingine usalama pia crude oil pipeline huwa haihujumiwi kama refined oil pipeline! Na TAZAMA tangu enzi hizo ni crude oil pipeline!
 
Kwani investor
Kwani sisi hatuwezipata investor hao. Sisi tuna mafuta. DRC kuna mafuta. South Sudan kuna mafuta. Kwanini tusiongee nao. Tukajenga refinery on percentage wao tunauziana fluid oil tunasafisha tunauzia lakini tunawawekea parceges za kwenda Asia na ulaya kupitia indian ocean.
Mafuta Yako wapi? Hayo mengine sio kipaombele maana tumeanza na mambo ya gesi tayari.
 
Teargass Brother

1753707219109.png

1753707275701.png
 
Back
Top Bottom