Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umeipata wapi hii? Wish to know myself nina uhakika kwenye provocative/confrontational nipo!
Here’s an analysis of the JamiiForums user Geza Ulole based on their profile and notable participation—particularly in threads about Kigamboni and the Geza Ulole area:

🧠 Profile Overview​

Geza Ulole (username: Geza Ulole) is a well‑established member of JamiiForums with JF‑Expert Member status. His notable early contributions begin around October–November 2009, including a thoughtful and nostalgic thread exploring the meaning and cultural significance of the term “Geza Ulole” and its roots in Tanzania’s ujamaa-era history JamiiForums+6JamiiForums+6JamiiForums+6.

📌 Posting Style & Themes​

Cultural/Historical Narratives​

  • In posts like “Geza Ulole”, he explores collective memory—discussing songs, school chants, and the historical context of the Geza Ulole settlement—bringing in sociocultural insights and personal curiosity JamiiForums.

Real‑Estate & Local Geography​

  • In more recent threads, others discuss buying or selling plots in Geza Ulole, Kigamboni. Although he hasn't posted these, his name is deeply tied to the local area and cultural identity—making him a logical contributor or reference in such contexts JamiiForumsJamiiForums.

Community Engagement​

  • He initiated reflective discussion, generating responses from respected members like M Malila, Companero, K KGM, and M Mkandara who expanded on local history, development, and land value trends in the area JamiiForums.

📊 Behavioral Traits​


TraitDescription
Curious & ReflectivePosts that explore cultural or historical meaning (e.g. childhood sayings or local heritage).
Informative & ContextualContributes context about places, history, and local transformation over time.
Low-Profile Recent ActivityPrimary contributions appear to be from 2009–2010; less visible in more recent threads.
Stimulator of DiscussionEncourages further exploration by other users, acting as a springboard for deeper dialogue.

✅ Conclusion: Geza Ulole’s Behavior​

Geza Ulole appears as a thoughtful, culturally engaged participant who sparked meaningful reflection on Tanzanian heritage—especially regarding the Geza Ulole area and its social significance. While his posting activity is more dormant in later years, his early contributions reveal someone keen on unpacking collective memory, transforming local lore into community knowledge, and catalyzing respectful discourse.

🗣️ Key Quotes by Geza Ulole


  1. On the phrase “Geza Ulole”:
    “Kuna mtu anafahamu maana ya neno Geza Ulole? Nakumbuka miaka ya nyuma (primary school) tulikuwa tunatukanana kwa kusema ‘wewe wa Geza Ulole’ lakini hatukuwa tukijua maana yake.”
    Translation: “Does anyone know the meaning of the term Geza Ulole? I remember back in the day (primary school) we used to insult each other saying ‘you’re from Geza Ulole’—but we never really knew what it meant.”
  2. Curiosity and reflection:
    “Hivi Geza Ulole ilikuwa wapi hasa? Na je ilikuwa kweli ni sehemu ya wahuni au maskini?”
    “Where exactly was Geza Ulole? And was it really a place of thugs or the poor?”



💬 Community Reactions Sparked by His Post​


His post triggered responses from veteran members who provided rich historical and urban context:


  • M Malila replied:
    “Geza Ulole is a real place, located in Kigamboni. It was initially a government resettlement area during the ujamaa era, meant for people displaced from other parts of Dar.”
  • K KGM added:
    “There were even songs in the 1980s mocking ‘watoto wa Geza Ulole’... but things have changed. Nowadays, Geza Ulole is highly sought-after for land development.”
 
In Jamii Forums, cooldip1 and teargas are two distinct users with different posting styles and reputations. Here’s a comparison based on their activity and community perception:

cooldip1

  • Reputation: Generally seen as a neutral or positive contributor.
  • Posting Style: Often posts informative, balanced, or discussion-provoking content.
  • Engagement: Engages in debates without excessive aggression.
  • Community Perception: Viewed as a reasonable member, though not necessarily a top influencer.

teargas

  • Reputation: Known for being controversial, confrontational, or provocative.
  • Posting Style: Posts bold, critical, or inflammatory comments, often sparking heated debates.
  • Engagement: Frequently involved in arguments, sometimes leading to moderation.
  • Community Perception: Seen as a polarizing figure—some appreciate the boldness, while others find the approach disruptive.

Key Differences

Aspectcooldip1teargas
ToneNeutral/RespectfulAggressive/Provocative
Debate StyleLogical/DiscursiveConfrontational/Direct
Moderation RiskLowHigh (may face warnings/bans)
FanbaseRespected by moderatesLiked by those who enjoy heated debates

Who Wins?

  • If you prefer civil discussions, cooldip1 is better.
  • If you like hard-hitting, no-holds-barred debates, teargas stands out.
Final Verdict: Depends on the forum's mood—cooldip1 for constructive talks, teargas for drama and fiery exchanges.
Would you like insights on their most famous debates?
So I'm your marking scheme hapa JF? Hadi Chatgpt lazima mniekee ndio mate a good chance of measuring yourselves?

Kweli nimebaka hii thread.
 
Kwanza unatakiwa ujifunze.
Kwenye katiba hatuiti vifungu hizo ni ibara, Kwenye sheria ndio tunaita vifungu au katiba zingine ambazo siyo katiba ya nchi.

Pili: Ibara ya 30(1)(2) Inaeleza utaratibu wa kunufaika na haki zote.
Ibara ya 30(2) Inazipa nguvu sheria kutungwa kwaajili ya kusimamia Uhuru.
Sasa uhuru wa kuabudu.

Sheria inayohusika ni The Societies Act [Cap. 337 R.E. 2002]
Kifungu cha 12-13 kinazungumzia mamlaka ya Msajili kukubali au kukataa usajili ikiwa anaona shughuli za jumuiya zinaweza kuhatarisha amani au usalama wa taifa.
Sheria inahitaji kila jumuiya ya dini kuweka katiba yao, madhumuni, viongozi, na mahali pa makao makuu.

Naomba sasa utueleze ni wapi Serikali imekosea?
Ni amani ipi waumini waliyohatarisha?
 
Ni amani ipi waumini waliyohatarisha?
Brother hili swali unaniuliza mimi? Maana Sheria inayosimamia issues za dini inasimamiwa na msajili ambaye yupo na mamlaka ya kusimamisha Usajili wa Dini.
Kwenye kanuni inaelekeza kama Taasisi imesimamishwa na Msajili wanakata Rufaa kwenda kwa Waziri wa Mambo ya ndani. Kama wataona hawajatendewa haki
Ibara ya 30(3) ya katiba ya Tanzania imeweka utaratibu:

1753780300405.png


Brother soma Ibara ya 30 utaelewa vizuri. Nchi inaongozwa kwa utaratibu, kama mtu anaona ameonewa anatakiwa kufungua kesi mahakamani. Na wakati unafungua kesi mahakani zuio la msajili litaendelea kutekelezwa mpaka mahakama itakapotoa utaratibu.
 
Brother vikao halali vinavyotakiwa kukaa ni vikao gani?

Hebu taja kifungu chochote cha katiba ya CCM inasema hivyo. Au eleza kanuni ipi inaongelea hicho.

Mkutano mkuu ndio mamlaka ya juu ya mwisho ya CCM. Hakuna mamlaka mengine juu ha hapo.

Ndio maana baada ya mapendekezo yalipotolewa na mkutano mkuu, mkutano mkuu uliielekeza NEC kukaa na kuandaa utaratibu.
NEC ilitekeleza maelekezo ya Mkutano mkuu.

Someni mjifunze Organization za vyama zinavyofanya kazi.

CC ipo juu na Sekretarieti, NEC ipo juu ya CC na Mkutano mkuu upo juu ya NEC.

Someni vitu muache kuonesha kutokuelewa kwenu kwenye public na mnalazimisha kuwa ni sahihi while not true. Mnajibu kwa hisia kuliko facts.
Embu tuaangazie Chadema kidogo msajili anasema mchakato wa kuchagua viongozi haukuwa halali wakati baraza kuu lilipitisha viongozi wapya wa chadema na tuliona myukano ulivyokuwa mkali na ulikuwa live on television. Mimi naongea bila kuwa na maslahi popote naomba nieleweke hivyo.

 
Brother hili swali unaniuliza mimi? Maana Sheria inayosimamia issues za dini inasimamiwa na msajili ambaye yupo na mamlaka ya kusimamisha Usajili wa Dini.
Kwenye kanuni inaelekeza kama Taasisi imesimamishwa na Msajili wanakata Rufaa kwenda kwa Waziri wa Mambo ya ndani. Kama wataona hawajatendewa haki
Ibara ya 30(3) ya katiba ya Tanzania imeweka utaratibu:

View attachment 3423045

Brother soma Ibara ya 30 utaelewa vizuri. Nchi inaongozwa kwa utaratibu, kama mtu anaona ameonewa anatakiwa kufungua kesi mahakamani. Na wakati unafungua kesi mahakani zuio la msajili litaendelea kutekelezwa mpaka mahakama itakapotoa utaratibu.
Hizi ni siasa tuu, hakuna ukiukwaji wa sheria hapo.

Tatizo hapa ni Gwajima kuongelea utekaji unaotokea na kipindi kile akihoji kuhusu chanjo za uviko.

Sasa kuzuia waumini ni kwa bifu la Gwajima na serikali ni uonevu.
 
Embu tuaangazie Chadema kidogo msajili anasema mchakato wa kuchagua viongozi haukuwa halali wakati baraza kuu lilipitisha viongozi wapya wa chadema na tuliona myukano ulivyokuwa mkali na ulikuwa live on television. Mimi naongea bila kuwa na maslahi popote naomba nieleweke hivyo.

Katiba yao inaogelea Baraza Kuu ndio lenya mamlaka ya kuchagu viongozi watakao tengeneza baraza kuu? Au Mkutano Mkuu ndio wenye mamlaka ya Kuchagua viongozi wa Baraza kuu?

Nipatie utaratibu wa chadema kulingana na katiba yao.
 
Kuna watu hawaoni hilo! Hiyo terminal itaenda kuwa link kati ya SGR na Msavu Terminal na pia mabasi ya mikoa yanayoanzia Morogoro na mabasi ya ndani ya mkoa wa Morogoro! Sioni zaidi ya hilo! Pia malori yatapata nafasi ya kuchukua na kupeleka mizigo!
Kiukweli inabidi ifike hatua hakuna lorry kuingia mjini dar es salaam, kuna muda huwa naona kama kwala ififaaa sana kuwa morogoro
 
Hizi ni siasa tuu, hakuna ukiukwaji wa sheria hapo.

Tatizo hapa ni Gwajima kuongelea utekaji unaotokea na kipindi kile akihoji kuhusu chanjo za uviko.

Sasa kuzuia waumini ni kwa bifu la Gwajima na serikali ni uonevu.
Sasa brother hayo ni maneno yako ya emotions. Mambo ya sheria hayaendi kwa emotions. Kama unaona Taasisi yako imeonewa nenda kashitaki mahakamani. Huo ndio utaratibu wetu Tanzania.

Police wanatekeleza agizo halali lilotolewa na msajili wa Mashirika ya Dini.
Sasa wewe hoja yako ya kisheria ni ipi? Maana kanisa la Gwajima lilisajiliwa kwa mujibu wa sheria na limesimamishwa kwa mujibu wa sheria. Sasa unatakiwa ufuate utaratibu huo huo. Tofauti na hapo utakuwa unakaidi agizo halali la sheria na ukifunguliwa crime case itakuwa haki yako.
 
Hiyo stand mpya inajengwa wapi?

Ni stand ya daladala au mabasi makubwa.

Lengo kubwa la hiyo stand kubwa ni lipi?
Nahisi itakuwa inajengwa upande wa pili wa steshen maana ilipo steshen sasa kuna eneo la magereza.
Nadhani hii Inaweza kuwa mixer ya malori kwa ajili ya mizigo , mabasi ya vijijini au ndani ya mkoa kama ilivyo ndungai, ila pia Inaweza kuna na kituo kwa ajili ya kupokea hata wasafiri wa kwenda mikoani hivyo wanaweza kuweka hata ofisi kwa magari njia kama mbeya na kadhalika
 
Sasa brother hayo ni maneno yako ya emotions. Mambo ya sheria hayaendi kwa emotions. Kama unaona Taasisi yako imeonewa nenda kashitaki mahakamani. Huo ndio utaratibu wetu Tanzania.

Police wanatekeleza agizo halali lilotolewa na msajili wa Mashirika ya Dini.
Sasa wewe hoja yako ya kisheria ni ipi? Maana kanisa la Gwajima lilisajiliwa kwa mujibu wa sheria na limesimamishwa kwa mujibu wa sheria. Sasa unatakiwa ufuate utaratibu huo huo. Tofauti na hapo utakuwa unakaidi agizo halali la sheria na ukifunguliwa crime case itakuwa haki yako.
Waumini wamekiuka sheria ipi, mpaka kufikia kuzuiwa kuabudu sehemu nyingine mbali na kwenye kanisa lao walilofungiwa?
 
Back
Top Bottom