President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Mimi nafurahi sana kuona notation za kijinga za kuwatenga Wanyarwada kwa sababu za kitoto kabisa.
I LIKE THIS
I LIKE THIS
Since when Kenya has any architectural taste with the ugliest buildings all over Kenya with no finishing.Some of the ugliest designs I have ever seen.
Hapana aisee kutakua na congestion kubwa sana ikiwa hivyo.Ikikimilika iwe ya mkoa.
Msamvu iwe stand ya daladala au bustani ya wazi.
Mbona sioni tofauti? Tena ya Msamvu ina cladding! Labda parking area!
View: https://x.com/dailynewstz/status/1949083936983752970
ila jengo linafanana la Msamvu!Tofauti iPod kubwa tu, mfano hii mpya Ina vitu kama;
1.Hoteli
2.Ukumbi mkubwa
3. Maduka kama super market
4.maduka madogo madogo.
5.Eneo la parking kwa usafiri mfano piki piki.
6. Shades kwa abiria
7. Lodges.
Hivyo vyote Msamvu haina
Pia ukumbuke ni ya ghrofa moja
Maji sumu kumbe upoUmeoga Leo wewe chokoraa?
Dodoma imekua Mombasa, enyewe ndio Kwa maana wewe ni watchman.Ila Mombasa kuna vumbi jamani duuuhhhh
Dodoma imekua Mombasa, enyewe ndio Kwa maana wewe ni watchman.
Kenya 95% ni leased planes, KQ inamiliki ndege 3 chakavu.Yaani Misri wana ndege 65 tuu na South Africa 20 Kenya 35? Tukijutahidi kuziongeza tunakua tishio Africa.
Total Fleet (2025)Kenya 95% ni leased planes, KQ inamiliki ndege 3 chakavu.
Nchi gani maskini kama Bongoslum na wenzenu Burundi are making such buses.Ipi nchi developed inachomelea Isuzu Lorrie kuwa Public buses?
😂😂😂😂
Kenya na South Sudan ni chanda na pete. Nchi zote njaa tu. Huna aibu unatuonesha body ya Stainless Steel katika karne hii? Basi zito kabla halijabeba hata abiria. Watu tunatumia Fiberglass Body