Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,619
- 5,789
Yaah! Iliwahi Nikita mwezi wa 5 watu wanasafiri Sana aise afu watu wanakata tiket Juu tuu siku hizi hawataki kubabaishwa.Demand ya seats ni kubwa mkuu. Tanzanians ndio taifa amabalo watu wake wengi wanasafiri sana. Hata mabasi siku hizi lazima ukate ticket a day before au mapema asubuhi kama unasafiri usiku bila hivyo hupati seat.