Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Waliufyata kama nyie Mikunduni mlipozuia Air Tanzania flights to Nairobi!
Tanzania Pupulation haijafika 70 mln! Haiwezi kuwa juu ya 68 mln!
Kabul is better than DarislumNairobi looks more of Kabul, Afghanistan.
Can you bring proof to these bogus allegations?9. Tanzania leads in intra East Africa trade.
10. Tanzania exports more to East Africa than what it imports
11. Tanzania has higher total exports than any other country in EA.
12. Tanzania leads in water supply in EA 89% rural 97% urban
13. Tanzania has modern bus terminals in EA
14. Tanzania leads in e-services in EA
The list is long
Mnusa gundi TZ population m 70 bado,even if ni m 70 kwa ukubwa wa nchi yetu bado kunyan mnazaliana kama panya,kanchi kenu kachafu kanaingia mara 2 na nusu kwa TZ nyahu ww
Mlianza kama delusions of grandeur lakini mnapoelekea inakuwa wendazimu sasa. 🤣 🤣 🤣Mi naona hata ku quadruple inawezekana, haya mambo ya maendeleo huwa ni exponential, yakianza yanasambaa haraka.
Tukiwa na watu makini ndani ya miaka 10 watu wataishangaa Tz.
Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B, japo kwenye makaratasi hauoneshi. Mambo tunayo yafanya hakuna nchi yenye GPD ya 250B iliyowahi kufanya.
Hata ikiwa 68M bado mtabaki tu LDC Ulole.Tanzania Pupulation haijafika 70 mln! Haiwezi kuwa juu ya 68 mln!
View: https://www.instagram.com/reel/DMH1VWXCl8w/?igsh=MXZxNDNxeHlwd2QwZw== kunyan mjiandae na maumivu mengine kama yale yalioanzisha maandamano ya kudai unga last year july
Nilishawahi kuwaambia hawa kima kwa mifano kabisa kwamba AI is a good tool but it depends on how you use it. Garbage in garbage out.Toka lini AI ikasema ukweli?
AI hii hii si ndio ilisema Kenya is the only East with electric trains?
Je ni kweli Kenya mna electric trains?
Nani kakwambia sisi ni LDC? NYOK@ wwHata ikiwa 68M bado mtabaki tu LDC Ulole.
embu counter hiyo ya goods exports kwanza tuone item 11😁Can you bring proof to these bogus allegations?
Hiyo pia item 13Can you bring proof to these bogus allegations?
AI inaokota taarifa zilizopo ONLINE, either kwenye comments za watu, websites au social media.Nilishawahi kuwaambia hawa kima kwa mifano kabisa kwamba AI is a good tool but it depends on how you use it. Garbage in garbage out.
Wana IQ kubwa lakini hawatambui hilo. 😂😂😂Nilishawahi kuwaambia hawa kima kwa mifano kabisa kwamba AI is a good tool but it depends on how you use it. Garbage in garbage out.
Wakenya wapo kama Nigerians.Wana IQ kubwa lakini hawatambui hilo. 😂😂😂
Nikiuliza Chatgpt kitu lazima nihakikishe kwenye source zingine, bahati mbaya sana siku hizi uki Google kitu jibu la kwanza unalokutana nalo ni kutoka AI.
AI ni nzuri kujifunza vitu mbalimbali na sio kufanya source ya taarifa.
Ila mitura inaweza kuwa ya afya kuliko hizo hotdogs zilizowekewa food dye.Naona nimewaletea makonde "Ugali wa nyasi"
Hao kenge wanavyohusudu USA ukute walitaka wawe na Hotdogs ila hali ikawa mbaya pesa hamna wakaishi kwenye Mitura.
Your thread is quite engaging. I wonder, though — by framing it as a ‘battle’ rather than a ‘comparison’, do you feel it risks reducing a complex relationship to a zero-sum contest?Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.