Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Your thread is quite engaging. I wonder, though — by framing it as a ‘battle’ rather than a ‘comparison’, do you feel it risks reducing a complex relationship to a zero-sum contest?
 
unajua maana ya ku-launch project?
dhahabu.png


dhahabu_2.png

 
Mlianza kama delusions of grandeur lakini mnapoelekea inakuwa wendazimu sasa. 🤣 🤣 🤣
mwaiofhawaii ndio maana nilikwambia huyu jama ni malenge tu kama ng'ombe zengine za bongolala.🤣 🤣 🤣
Nitajie nchi yoyote duniani yenye GDP chini ya $250B, ambayo kwa pamoja, inajenga madaraja, mji mpya from scratch, reli, dam, kununua ndege cash, huku ikiwa na food security zaidi ya 100%, ikilipa mishahara bila shida, huku ikisomesha watoto mpaka sekondari bure.
 
Mnusa gundi TZ population m 70 bado,even if ni m 70 kwa ukubwa wa nchi yetu bado kunyan mnazaliana kama panya,kanchi kenu kachafu kanaingia mara 2 na nusu kwa TZ nyahu ww
Chokoraa wa Amsterdam, kwa status yenu ya LDC mnatakiwa mufe kama milli 10 ndo ili mjikwamue kutoka kwenye umaskini 😂😂
 
Back
Top Bottom