Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

oh ooohh... be careful you might just start losing business​

Rajamouli has a plan B ready after SSMB29 Kenya schedule called off due to unrest, team to shoot at THESE locations​

Updated on: 14 July,2025 09:45 AM IST | Mumbai
Mohar Basu | mohar.basu@mid-day.com

After SSMB29’s Kenya shoot was recently called off due to unrest in the country, sources suggest that SS Rajamouli to film in South Africa and Tanzania. The film marks the return of Priyanka Chopra, co-starring with Mahesh Babu
Rajamouli has a plan B ready after SSMB29 Kenya schedule called off due to unrest, team to shoot at THESE locations

SS Rajamouli, Priyanka Chopra and Mahesh Babu

In June, mid-day reported that filmmaker SS Rajamouli would take his Mahesh Babu-led action adventure, the working title of which is SSMB29, to Kenya for a month-long schedule (Kenya calling, June 24). But in the latest development, the plan has hit a roadblock amid the ongoing protests in Kenya. “Our team had done the recce, locations were finalised, but just weeks before the mid-July shoot, unrest began brewing in the region. We couldn’t risk the crew’s safety,” reveals a source associated with the film that also stars Priyanka Chopra and Prithviraj Sukumaran.
So, where will Babu’s character — a globe-trotting explorer on a quest for some rare artefacts, à la Indiana Jones — head to, with Kenya off the table? We’ve heard that Rajamouli and his team, keen to not waste time, are now planning to head to South Africa and Tanzania, locations that promise similar visual appeal. A unit member says, “Rajamouli sir was clear that he wanted terrains that have rarely been seen on Indian screens. Tanzania’s highlands and parts of South Africa ticked those boxes.”
The production team is currently in the process of securing permits. If things work out, the cast and crew will head to South Africa by the third week of July. “We’re hoping to lock everything in the next 10 days,” adds the insider.
 
Hata bila airtanzania kwenda ulaya ila sgr ifike kigoma tu hata kabla ya mwanza itadouble hapo.
Mi naona hata ku quadruple inawezekana, haya mambo ya maendeleo huwa ni exponential, yakianza yanasambaa haraka.

Tukiwa na watu makini ndani ya miaka 10 watu wataishangaa Tz.

Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B, japo kwenye makaratasi hauoneshi. Mambo tunayo yafanya hakuna nchi yenye GPD ya 250B iliyowahi kufanya.
 
Uchumi halisi wa Tanzania ni $450B.
 
Niliiona ile ripoti, imeipita mara 3 ile assessment yako ya $150B uliyokiwa ukiipigia filimbi hapa.
Ukitaka kuamini uchumi wetu ni zaidi ya $450B angalia miradi tunayofanya alafu inaenda smooth kabisa na ajira zipo, mishahara serikalini haichelewi, business zinafanyika vzr tuuu na wakandarasi wanalipwa na hakuna kelele, hawa wanusa gundi tumewaacha mbali mnooooo.
 
Mi naona hata ku quadruple inawezekana, haya mambo ya maendeleo huwa ni exponential, yakianza yanasambaa haraka.

Tukiwa na watu makini ndani ya miaka 10 watu wataishangaa Tz.

Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B, japo kwenye makaratasi hauoneshi. Mambo tunayo yafanya hakuna nchi yenye GPD ya 250B iliyowahi kufanya.
Tunatakiwa tupate watu sahihi hasa mtu sahihi wa kupambania reli, fikiria kama tukiweza yaondosha malori yote yakaanzie either Moro na Dom ili kuondoka jam ya morogoro road na Ile mizigo ya Rwanda ikishushwa ipigwe moja kwa moja isaka na kigoma yaan hakuna Cha kwala wa Dodoma ni kupakia kwenye mgr dereva akinyanyua gusi ni 24hour kashikilia kibati , kusimama ni dereva anataka kujamba tu.
 
Nafikiri hiyo ya hub kubwa isaka, ndiyo ilikuwa idea ya mwanzo kabla ya wazo la kujenga reli ya Burundi kupitia Uvinza, kuanza.
 
Tunatakiwa tupate watu sahihi hasa mtu sahihi wa kupambania reli, fikiria kama tukiweza yaondosha malori yote yakaanzie either Moro na Dom ili kuondoka jam ya morogoro road na Ile mizigo ya Rwanda ikishushwa ipigwe moja kwa moja isaka na kigoma yaan hakuna Cha kwala wa Dodoma ni kupakia kwenye mgr dereva akinyanyua gusi ni 24hour kashikilia kibati , kusimama ni dereva anataka kujamba tu.
Huhitaji kuondosha yote maana ni biashara huria ila around 40% is more realistic!
 
Mpango wa Kwala ni mzuri hata kushushia mizigo pale Kwala ni idea nzuri!
Ila dawa itaingia polepole .
Mfano tu nani atakubali akange foleni kusubiri mzigo bandarini na baadae aanze kupambania na foleni ya mpaka mlandizi.
Kwa lorry kutoka bandari mpaka mlandizi unaweza chukua masaa 6 wakati huo muda unakichukulia letsay Moro unakuwa umekata safari ya siku nzima plus mafuta.
 
Back
Top Bottom