Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atatumia kerosene kama source of energy sababu ni vey expensive compared to gas, bei ya gas ni 19k wakati kerosene lita ni 2.7k na inaweza isitoshe mahitaji ya siku

Kunyaland gas ni bei ghali mpaka watu wanaona kutumia kerosene ni cheap, imagine how fucked up hii Shithole is.
View attachment 3406637
AI says otherwise
 
Attachments

  • Screenshot_20250715_125803_DeepSeek.jpg
    Screenshot_20250715_125803_DeepSeek.jpg
    231.2 KB · Views: 12
AI says otherwise
OpenAI CEO Sam Altman recently warned against the trust users place in the company’s AI chatbot, ChatGPT. Speaking at the inaugural episode of OpenAI’s official podcast, Altman said that he finds it “interesting” when people put “high degree of trust” in ChatGPT. Noting that AI is infallible and can produce misleading or false content, he said that it should not be trusted much. “People have a very high degree of trust in ChatGPT, which is interesting, because AI hallucinates. It should be the tech that you don't trust that much,” Altman said about OpenAI’s own ChatGPT.
 
Yet IMF watakuambia Kunyaland GDP inakua, lakini kwa ground kila kitu ni mfu, energy sector ikikua dramatically hivi ujue impact yake ni multidimensional ni multiple economic sectors zimekua, mabasi ya BRT phases zote na zenyewe zitatumia gas, baada ya miaka miwili am telling you hii itakua revenue source kubwa kuliko half of Kunyaland

View: https://www.instagram.com/p/DMFUAMTo1A8/?igsh=MXAyMHpzYTdtOGx5eQ==

View attachment 3406442View attachment 3406443

wakiona hii nyangau wanataka kulia wakifikiria ile mitungi yao ya tetanus from Githurai 😁
Dar is green from train to buses and cars.
 
AI says otherwise
Ai sio kitu cha kuaminika kwa percent zote acha kuwa fala, nimekuwekea simple fact kerosene lita 1 Tanzania ni 2700 wakati gas ndogo ni 19k mpaka 23k, jiulize nani mwenye akili timamu atatumia kerosene instead of cheap gas, bei ya gas ya miezi miwili ndio kerosene ya wiki 1, nani mwenye akili ndogo hivyo?
 
OpenAI CEO Sam Altman recently warned against the trust users place in the company’s AI chatbot, ChatGPT. Speaking at the inaugural episode of OpenAI’s official podcast, Altman said that he finds it “interesting” when people put “high degree of trust” in ChatGPT. Noting that AI is infallible and can produce misleading or false content, he said that it should not be trusted much. “People have a very high degree of trust in ChatGPT, which is interesting, because AI hallucinates. It should be the tech that you don't trust that much,” Altman said about OpenAI’s own ChatGPT.
Muache ndio tegemeo lao, kwa ground hawataki, wanataka data za kupika ziwafariji.
 
Porojo za uchaguzi hizi! Hii barabara ilizinduliwa 2016 na Magufuli na JICA walikuwa tayari kutoa fedha ila siasa za Mwendazake! Haileti maana kujenga kuanzia maili sita inapaswa ianzie KIA na pia KIA-USA River!
inajengwa kwa vipande mkuu inaanzia maili 6 kwa sababu ya daraja pale wanajenga daraja jipya kikafu na kuweka tourist centre pia kipande kingine ndio kitatoka maili 6 kwenda kuungana na Arusha
 
Kwanza ukienda dukani ukauliza mafuta ya taa kila mtu atashangaa unataka kufanyia nn, maduka mengi hakuna mafuta ya taa siku hz, hata watoto wa 2000s wengi hawayajui, ngoja leo nijitoe ufahamu nikaulize dukani nione kama bado yapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi huwa nanunua mafuta ya taa, kuchomea taka

Yaani utakuta duka moja ndio linauza.
 
Back
Top Bottom