Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yet IMF watakuambia Kunyaland GDP inakua, lakini kwa ground kila kitu ni mfu, energy sector ikikua dramatically hivi ujue impact yake ni multidimensional ni multiple economic sectors zimekua, mabasi ya BRT phases zote na zenyewe zitatumia gas, baada ya miaka miwili am telling you hii itakua revenue source kubwa kuliko half of Kunyaland

View: https://www.instagram.com/p/DMFUAMTo1A8/?igsh=MXAyMHpzYTdtOGx5eQ==

20250715_084621.jpg
20250715_084619.jpg
 
Tuweni honest tu, hivi mafuta ya taa bado yanatumika kama domestic source of fuel? Mbona Kunyaland ipo nyuma hivi? Na hapo ni naislum, angalieni standards za hizo nyumba na ambiance ya streets ilivyo ya kimasikini, manyumba ya nylon na mabati, mud huts kwenye metropolis yao 😂😂😂 hawa watu wana haki ya kuandamana daily

Screenshot_20250711-223502.jpg

View: https://youtu.be/Mj5_K_BmTzs?si=jzC88Ubwjxt9TjCd
 
View attachment 3406449

View: https://youtu.be/Mj5_K_BmTzs?si=jzC88Ubwjxt9TjCd

In Tz ni mwendo wa clean energy tuu. huko tushatoka kitambo tangu 90s
 
Duh, kwani ukianzisha kitu huwa kinaumbika ghafla.

Hata mtoto anachukua wiki 37 kabla hajazaliwa lakini kati ya hizo wiki, zile wiki 20 za kwanza, ndo za muhimu hasa, katika kutengeneza mifumo kama ya transportation (circulatory) ili nutrients ziweze kufikia cells zote.

Kwa akili yako utasema hizo wiki siyo muhimu sababu, hata mimba huwa haionekani.
unajua maana ya ku-launch project?
 
Back
Top Bottom