Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1752500688033.png
 
SGR ikiisha na Air Tanzania ikiruhusiwa kwenda Europe na vile viwanda vya Mchina +3000 vikikamilika gap litazidi! Msisahau EAcOP haijaanza kazi!
Hapo kwenye EACOP tunapiga USD 1.4bn kila mwaka kama transit fees tuu bado faida ya kuwa mwekezaji wa pipeline maana tuliweka 20% halafu tukaongeza umiliki mpaka 30% kama sikosei baada ya financing kusuasua.
 
Back
Top Bottom