chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,685
- 45,933
Ikawa subuhi, ikawa mchana, ikawa giza siku ya kwanza.Hakuna Chan wala Afcon itachezwa hapo, nimekaa paleeee 👉👉👉👉👉👉👉👉👉

Huyo mngese Nicxie vipicha vyake ndio hivyo hivyo 2,ugali wa nyasi ushaharibu akili yake nyahu yuleSince 2017, yn alipojiunga tu akapata hivi vipicha, basi anajifariji navyo mpaka leo, hataki kusikia tuna sgr, BRT, jnhpp, Dodoma new city, vyote hivyo hataki, yeye anakaza na vipicha hvyo hvyo tu daily 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
idea ya Magu mbona hakuifanya? Magu aliyekutwa na mahela amehifadhi chumbani alipofariki?Hii ilikuwa idea ya Magu, kuanza kuweka akiba ya dhahabu, ikiwa ni kuachana rasmi na sera za restructuring.
Sasa naona serikali ys Samia wameamua kuendeleza kwa kulazimisha mauzo yote ya 20% yaende BOT. Tatizo langu ni, je hakutakuwa na ufisadi?
Duh, kwani ukianzisha kitu huwa kinaumbika ghafla.idea ya Magu mbona hakuifanya? Magu aliyekutwa na mahela amehifadhi chumbani alipofariki?
Kero kubwa kwa Sasa ni Barabara ya Kibaha -Chalinze - Morogoro,Expressway ya USA River- Moshi-Holili sijui iliishia wapi?