Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ok nadhani hujui ntakupa mfano
Kakonko wanakiwanda Cha tofari

View: https://youtu.be/0D51TMdHTj8?si=cwkoynLVHvW_UdXt
Nanyumbu DC Wana kiwanda Cha tofali,Lori la kukodi sm 14500 na mashine kwa ajili ya kuchimba maji hivyo vyote vinakodiwa
Nanyamba kiwanda Cha tofari, Lori la mchanga na wanajenga kiwanda Cha kubangua korosho.
Masasi DC
Godown kwa ajili ya kukodisha misimu wa korosho,ufuta na mbaazi.
Kuna halmashauri mpaka zinanunua hisa kwenye makampuni

Hayo ni makosa yanatakiwa yafanyiwe kazi. Hapo kwenye kiwanda nani atakusanya mapato? Halmashauri inatakiwa kutengeneza miundombinu siyo kujiingiza kwenye biashara. Sidhani kama hicho kiwanda bado kipo kitakuwa kimeondolewa. Kama wanataka kufanya biashara wasajiri kampuni.
 
The WB report states the number of people living in extreme poverty in Tanzania. NOT the economic situation of Tanzania as a country. Inaongelea idadi ya watu wanaoishi kwenye umasikini just like you've correctly said above, but in this case, extreme poverty. The report does not talk about whether or not Tanzania is a poor country. It talks about her people as you've rightfully said above. Sasa sijui mabishano ni ya nini
Jamaa amekwambia ulete ripoti inayoonesha kuwa Tanzania ni poorest country East Africa, ulileta ripoti gani kaka!?
 
Sasa kaka kwa hiyo tu bei uliyo iweka ya Tsh 70,000 kwa tani. Hebu tuambie sasa SGR imepeleka 1,400 ton
Hiyo ni bei ya lorry anyway twende hivyo. Hiyo treni imerud empty baada ya kuingiza 98mil
Jumla itakuwa Tsh 98,000,000 kwa trip hiyo moja. Na uwezo wa treni ya mizigo ni 10,000 kwa mara moja. Ikiwa full operation maana yake Tsh 700,000,000 kwa trip moja.
Tuje kwa abiria ecoonomy kuna behewa 10*35,000 *78=27,300,000
Go and return = 54,600,000*3=163,800,000
Business 5*5*80,000= 18,000,000*3 =54,000,000,000
Total 217,000,000
Basi ilijaza kwa asilimia 70 inaenda 151,900,000 .
Kumbuka treni ya mizigo haiwezi piga trip 3 kwa siku ila ya abiria Inaweza piga mpaka nne tukiongeza
Tukisema tupromote abiria bado tunaweza kuingiza faida kubwa kuliko hata hiyo mizigo ila wengi tumemezeshwa.
Nakuomba sasa uangalie hesabu sako vizuri.
Siaminigi katika kushindwa naamini bado Kuna nafasi ya hela kwenye abiria
 
Hayo ni makosa yanatakiwa yafanyiwe kazi. Hapo kwenye kiwanda nani atakusanya mapato? Halmashauri inatakiwa kutengeneza miundombinu siyo kujiingiza kwenye biashara. Sidhani kama hicho kiwanda bado kipo kitakuwa kimeondolewa. Kama wanataka kufanya biashara wasajiri kampuni.
Halmashauri ni kama kampuni inapimwa kwa mapato , inatakiwa iwe na vyanzo vyake ili iweze kulipa mahitaji yote kwa ngazi ya wilaya la sivyo itabidi iwaongezee Kodi ya mazao ili iweze kumhudumia likizo za walimu
Nanyamba almost 10 % ya mapato ni kiwanda Cha tofari,
Vipi kuhusu viwanja vinavyokuwa vinauzwa na manispaa navyk sio kwamba wameingilia shughuli za wizara ya ardhi?
 
Dangote akitumiwa vizuri anamzigo mkubwa sana
Naona bei ya cement mikoa ya kanda ya ziwa ikienda kupungua bei kutokana na gharama za usafirishaji kupungua.
Nyati cement
Huaxin cement
Twiga cement nk
Hawa watasafirisha cement zao kwa kutumia SGR hadi Dodoma dry port then watatumia malori kusambaza kanda ya ziwa.
Naona pia wakienda kujenga magodown Dodoma.
 
Naona pia wakienda kujenga maghala Dodoma.
Bado kuna watu trc wamelala . Lorry la ninj Dodoma ? Ilitakiwa lorry likatoea mzigo kiwandani kuleta pugu, sgr iuwahishe Dom then wahamishie kwenye mgr ifikiwe mwanza ndani ya masaa 20 tu
 
Naona bei ya cement mikoa ya kanda ya ziwa ikienda kupungua bei kutokana na gharama za usafirishaji kupungua.
Nyati cement
Huaxin cement
Twiga cement nk
Hawa watasafirisha cement zao kwa kutumia SGR hadi Dodoma dry port then watatumia malori kusambaza kanda ya ziwa.
Naona pia wakienda kujenga magodown Dodoma.
Ikifika isaka lazima viwanda vichanganyikiwe maana itakuwa rahisi na fasta, tegemea mikoa yote ya Uganda karibia na Tanzania ipate mahitaji toka tz
 
Hiyo ni bei ya lorry anyway twende hivyo. Hiyo treni imerud empty baada ya kuingiza 98mil

Tuje kwa abiria ecoonomy kuna behewa 10*35,000 *78=2,730,000
Go and return = 54,600,000*3=163,800,000
Business 5*5*80,000= 18,000,000*3 =54,000,000,000
Total 217,000,000
Basi ilijaza kwa asilimia 70 inaenda 151,900,000 .
Kumbuka treni ya mizigo haiwezi piga trip 3 kwa siku ila ya abiria Inaweza piga mpaka nne tukiongeza
Tukisema tupromote abiria bado tunaweza kuingiza faida kubwa kuliko hata hiyo mizigo ila wengi tumemezeshwa.

Siaminigi katika kushindwa naamini bado Kuna nafasi ya hela kwenye abiria
Brother unaleta ubishi wa usio na maana. Biashara ya abiria ipo chini sana.

Biashara ya mizigo ndiyo kazi ya treni. Treni zikianza kuingia bandarini kwa siku zinaweza yoka treni mpaka 10. Kulingana na wingi wa mizigo
Hiyo ni bei ya lorry anyway twende hivyo. Hiyo treni imerud empty baada ya kuingiza 98mil

Tuje kwa abiria ecoonomy kuna behewa 10*35,000 *78=27,300,000
Go and return = 54,600,000*3=163,800,000
Business 5*5*80,000= 18,000,000*3 =54,000,000,000
Total 217,000,000
Basi ilijaza kwa asilimia 70 inaenda 151,900,000 .
Kumbuka treni ya mizigo haiwezi piga trip 3 kwa siku ila ya abiria Inaweza piga mpaka nne tukiongeza
Tukisema tupromote abiria bado tunaweza kuingiza faida kubwa kuliko hata hiyo mizigo ila wengi tumemezeshwa.

Siaminigi katika kushindwa naamini bado Kuna nafasi ya hela kwenye abiria
Brother unatuaibisha sana watanzania. Vitu kama huvijui ni bora ukae kimya. Tanzania imeagiza mabehewa 1,430 ya mzigo. Bhehewa moja linauwezo wa kubeba 120 ton. Yaliyoingia ni 264 tu. Yaliyoingia loose cargo ni 64, kontena 200. Hakuna behewa hata moja la kontena lililoanza kazi.

Treni ya mizigo ndio kwanza imeanza bado hata haijaingia bandarini. Ikisha ingia bandarini. Ikianza kazi mpaka bandarini kwa siku zinaweza kutoka zaidi ya treni 10 za mizigo.

Treni 10 kila moja ni Tsh 700,000,000.
Per Day unaingiza Tsh 7b. Na hapo ni one way tu. Ukisema mizigo yote inayotoka DRC, Burundi, Uganda na Rwanda na ile ya Tanzania iishie Dodoma na ibebwe kuja dar. Hapo unaongelea Tsh 14b per day.

Niambie Treni ya Abiria kwa mwaka inaingiza Tsh 60b kwa mujibu wa maelezo yako. Ndani ya 7 days SGR ya mizigo inaingiza Tsh 98b zaidi ya pesa za SGR ya abiria.

Kaka unatakiwa ujue maisha ya usafirishaji.
 
Jamaa amekwambia ulete ripoti inayoonesha kuwa Tanzania ni poorest country East Africa, ulileta ripoti gani kaka!?
Fuatalia thread. I am not here to repeat myself. Ask him if I didn't do that
 
Halmashauri ni kama kampuni inapimwa kwa mapato , inatakiwa iwe na vyanzo vyake ili iweze kulipa mahitaji yote kwa ngazi ya wilaya la sivyo itabidi iwaongezee Kodi ya mazao ili iweze kumhudumia likizo za walimu
Nanyamba almost 10 % ya mapato ni kiwanda Cha tofari,
Vipi kuhusu viwanja vinavyokuwa vinauzwa na manispaa navyk sio kwamba wameingilia shughuli za wizara ya ardhi?
Halmashauri siyo Kampuni. Makampuni yote yanasajiriwa brela. Halmashauri inateneza miundombinu kisha inakusanya ushuru. Kuna miundombinu ya maji, parking, Masoko, Stands nk. Siyo kufanya biashara. Ukiruhusu hivyo nchi hiyo itakuwa ya vichaa. Kama wanataka kufanya biashara wasajili kampuni.
 
Bado kuna watu trc wamelala . Lorry la ninj Dodoma ? Ilitakiwa lorry likatoea mzigo kiwandani kuleta pugu, sgr iuwahishe Dom then wahamishie kwenye mgr ifikiwe mwanza ndani ya masaa 20 tu
Brother mawazo yako ya ajabu sana. Yani mzigo wa 10,000 ton ubebwe na mgr 🤣 🤣 🤣 🤣 Je, unajua treni moja ya mgr inabeba ton ngapi? Kaka mawazo yako ni too theoretical not real
 
Naona option ya "edit" imekuokoa kijana wangu.
I'm leaving you with the fact that The poorest country in the region is South Sudan followed by Burundi.
And Kibera is the largest slums in Africa 😀
What have I edited kijana wa Tandale? How can I edit what you already quoted and posted? I took a screenshot of your own reply on my comment.

Sema tu mnapenda ubishi za kijinga.
Kutaja Kibera a million times a day won't change this fact
Screenshot_20250712-175809.jpg
 
What have I edited kijana wa Tandale? How can I edit what you already quoted and posted? I took a screenshot of your own reply on my comment.

Sema tu mnapenda ubishi za kijinga.
Kutaja Kibera a million times a day won't change this fact View attachment 3403628
Having a large number of people living below the index doesn't conclude that the country is poorest. Infact, Nigeria is not the poorest country in Africa. Mind you, it's one of the richest in Africa.

Hivi katika masomo yote mliyofundishwa huko Gikomba, somo pekee ulifaulu ni maandamano na kukwepa teargas??
 
Brother unaleta ubishi wa usio na maana. Biashara ya abiria ipo chini sana.
Nakubaliana na wewe kuwa biashara ya treni ni mizigo na hata wakati wanadizaini hii reli walijua abiria ni kidogo sana ndo maana hata makadirio ya abiria ilikuwa ni 1.5 mil kwa mwaka (soma esia) ila leo tunazungumzia 2.3 almost mara mbili, kwa maana ikisimamiwa vizuri Inaweza fikisha mpaka 6mil kwa mwaka.
Tukija kwenye treni hata kama kutakuwa na treni 20 wastan wa behewa 100 na ukawa na treni 15 kwa maono ya sasa abiria watalipa tu .
Itaweza fikia hiyo pesa inayofika ikiwa imefika kwanza na kigoma ila bado hata huko abiria ni wengi sana wa kujaza mpaka treni 30 kwa siku za abiria.
Mimi nawewe tunatofautiana , wewe unaamini kwa ulivyosikia kuwa ni mizigo tu inalipa ila kwangu naamini abiria wakifanyiwa promo kidogo hata hii ya Dodoma tunaweza toa mpaka treni 20 kwa siku kabla ya kufika dom

Biashara ya mizigo ndiyo kazi ya treni. Treni zikianza kuingia bandarini kwa siku zinaweza yoka treni mpaka 10. Kulingana na wingi wa mizigo

Brother unatuaibisha sana watanzania. Vitu kama huvijui ni bora ukae kimya. Tanzania imeagiza mabehewa 1,430 ya mzigo. Bhehewa moja linauwezo wa kubeba 120 ton. Yaliyoingia ni 264 tu. Yaliyoingia loose cargo ni 64, kontena 200. Hakuna behewa hata moja la kontena lililoanza kazi.
Hakuna behewa la tani 120 lilioagizwa maana axel capacity ni tan 35 na mabahewa yote yaliyotangulia ni tan 75 tu.

Treni ya mizigo ndio kwanza imeanza bado hata haijaingia bandarini. Ikisha ingia bandarini. Ikianza kazi mpaka bandarini kwa siku zinaweza kutoka zaidi ya treni 10 za mizigo.
Kumbuka mizigo sio Kila siku .
Hakuna treni ya mizigo itatoka dar mpaka kigoma ikageuza same day ila ya abiria itaweza hata piga trip 3 kwa masaa 24
Treni 10 kila moja ni Tsh 700,000,000.
Per Day unaingiza Tsh 7b. Na hapo ni one way tu. Ukisema mizigo yote inayotoka DRC, Burundi, Uganda na Rwanda na ile ya Tanzania iishie Dodoma na ibebwe kuja dar. Hapo unaongelea Tsh 14b per day.
Ili ubebe mzigo wa 700mil inahitaji mabehewa 163 na si chini ya vichwa vya treni 4 je ushapiga hesabu ya gharama ambatanisho?
Hivi unajua hiyo abiria ikivuta behewa hata nusu ya hiyo kwa siku Inaweza ingiza mara mbili ya
Niambie Treni ya Abiria kwa mwaka inaingiza Tsh 60b kwa mujibu wa maelezo yako. Ndani ya 7 days SGR ya mizigo inaingiza Tsh 98b zaidi ya pesa za SGR ya abiria.
Sasa huoni kama ya mzigo inachelewa kuingiza pesa. Kama kwa sasa ya abiria kwa siku inaingiza 151mil kwa siku 7 si inaingiza 1.bil Tena treni moja sio zote 🤣.
Tukisema tufanye treni zote mbili ni 2bil kwa siku saba . Hiyo hela utazipata kwa treni ngapi A mizigo kwa siku sababu ? Kumbuka kjna kushusha na kupakua
Kaka unatakiwa ujue maisha ya usafirishaji.
Nimekuwa kwenye usafirishaji abiria analipa kuliko lorry, ila abiria anataka heshima na nidhamu .
Unaweza toa lorry dar - songea ukalipwa 5mil ila ukachukua siku tatu
Ukitoa gharama zote ukabaki na 2mil ila kukawa na mtu wa mabasi yeye Kila siku akalaza 1.8 baada gharama nyinginezo . Ndani ya siku tatu kibindoni akawa na 5.4mil na wewe huko ukienda unaweza subiri mzigo wiki
 
Brother mawazo yako ya ajabu sana. Yani mzigo wa 10,000 ton ubebwe na mgr 🤣 🤣 🤣 🤣 Je, unajua treni moja ya mgr inabeba ton ngapi? Kaka mawazo yako ni too theoretical not real
Kwani tan 10,000 ni mabehewa mangapi ya mgr?
Au hujui behewa moja ya mgr linabeba tan 40 na inahitaji mabehewa 250 tu ambazo ni kama treni 4 za mgr .
 
Having a large number of people living below the index doesn't conclude that the country is poorest. Infact, Nigeria is not the poorest country in Africa. Mind you, it's one of the richest in Africa.

Hivi katika masomo yote mliyofundishwa huko Gikomba, somo pekee ulifaulu ni maandamano na kukwepa teargas??
Stop twisting this thing to fit your own narrative. The WB report does not in anyway talk about poor COUNTRIES. It talks about poor POPULATIONS living in specific countries. A country can be rich but has lots of poor people. I can give you examples from across africa. If it's about countries' wealth, then DRC is even wealthier than Nigeria if you didn't know. It has huge deposits of minerals not found in many African countries. But has that stopped it from featuring in the list of having PEOPLE living in extreme poverty? The answer is no! Even your own country Tanzania is richer than Kenya resource-wise but it still has more people living in extreme poverty than Kenya.

Now engage your brain for once and stop creating your own stories which contradict what's contained in that WB report.
 
Nakubaliana na wewe kuwa biashara ya treni ni mizigo na hata wakati wanadizaini hii reli walijua abiria ni kidogo sana ndo maana hata makadirio ya abiria ilikuwa ni 1.5 mil kwa mwaka (soma esia) ila leo tunazungumzia 2.3 almost mara mbili, kwa maana ikisimamiwa vizuri Inaweza fikisha mpaka 6mil kwa mwaka.
Tukija kwenye treni hata kama kutakuwa na treni 20 wastan wa behewa 100 na ukawa na treni 15 kwa maono ya sasa abiria watalipa tu .
Itaweza fikia hiyo pesa inayofika ikiwa imefika kwanza na kigoma ila bado hata huko abiria ni wengi sana wa kujaza mpaka treni 30 kwa siku za abiria.
Mimi nawewe tunatofautiana , wewe unaamini kwa ulivyosikia kuwa ni mizigo tu inalipa ila kwangu naamini abiria wakifanyiwa promo kidogo hata hii ya Dodoma tunaweza toa mpaka treni 20 kwa siku kabla ya kufika dom

Hakuna behewa la tani 120 lilioagizwa maana axel capacity ni tan 35 na mabahewa yote yaliyotangulia ni tan 75 tu.

Kumbuka mizigo sio Kila siku .
Hakuna treni ya mizigo itatoka dar mpaka kigoma ikageuza same day ila ya abiria itaweza hata piga trip 3 kwa masaa 24

Ili ubebe mzigo wa 700mil inahitaji mabehewa 163 na si chini ya vichwa vya treni 4 je ushapiga hesabu ya gharama ambatanisho?
Hivi unajua hiyo abiria ikivuta behewa hata nusu ya hiyo kwa siku Inaweza ingiza mara mbili ya

Sasa huoni kama ya mzigo inachelewa kuingiza pesa. Kama kwa sasa ya abiria kwa siku inaingiza 151mil kwa siku 7 si inaingiza 1.bil Tena treni moja sio zote 🤣.
Tukisema tufanye treni zote mbili ni 2bil kwa siku saba . Hiyo hela utazipata kwa treni ngapi A mizigo kwa siku sababu ? Kumbuka kjna kushusha na kupakua

Nimekuwa kwenye usafirishaji abiria analipa kuliko lorry, ila abiria anataka heshima na nidhamu .
Unaweza toa lorry dar - songea ukalipwa 5mil ila ukachukua siku tatu
Ukitoa gharama zote ukabaki na 2mil ila kukawa na mtu wa mabasi yeye Kila siku akalaza 1.8 baada gharama nyinginezo . Ndani ya siku tatu kibindoni akawa na 5.4mil na wewe huko ukienda unaweza subiri mzigo wiki
Brother unaleta ubishani wa kitoto sana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Ya SGR ya abiria izidi ya mizigo. This is stupid discusion. Cost ya ujenzi wa SGR ya tanzania estimated at $10 billion (26 trillion Tanzanian shillings). Kwa biashara ya abiria hizo pesa unazirudisha baada ya miaka mingapi?.

Unajitutumua uonekane upo na akili kumbe ni hopeless tu.
Unaleta maneno ya hisia tu bila ukweli wowote. Mimi ninakuletea taarifa na evidences. Uwezo wa behewa moja ni 120t. Soma hapa:

Axile load ni Tani 35. Behewa moja lipo na Axiles 4. 35x4 = 140ton, 20ton ni uzito wa behewa lenyewe. Then 120t ni uzito wa mzigo.

Unazingua kinyama.

Check hapa behewa linavyoonekana. Lipo na mataili 8, kila Axile ipo na mataili mawili.

1752353783966.png

ACHA UJINGA KAKA NAKUOMBA UJIELIMISHE HATA KIDOGO GOOGLE BADALA YA KUTUTIA AIBU HUMU JF

Back
Top Bottom