concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Kwa Kila taasisi ya serikali huwa kuna formula ya matumizi ambayo inajumlisha development, operation na hela inayotakiwa kurudi serikali kuu .Operation cost za TRC zitatoka wapi? Huo utakuwa mwanzo wa kuiua TRC
Sasa kwenye hii pesa ya Devo ndo nazungimzia ingetumika kufanya maboresho hayo kumbuka trc mpaka sasa hazitumii pesa inayokusanya kulipa wakandarasi wa ujenzi wa sgr