Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo pesa unaiona ndogo?
Mbona hizo wizara zenu Kama elimu ilikuwa inatola bil 3 kwa ujenzi wa shule zenye maje go zaid ya 10 , zikiwa na vitu vyote ndani? Unataka godown yenye kuwa na fence na open space yenye pellets tu ya tan 5000 Inaweza fikia bil 5 tsh.
Karibu mtwara nikuoneshe godown la 400mil na lile la serikali lenye dhaman ya 2bil lisilo na mzani wa magari🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo godown unayafananisha na madarasa. Hii kali sasa. Hebu tuambie godown la kutunza ngano isiharibike linahitaji vitu gani?
 
Unawaza ki masikini sana brother
 
Kwahiyo godown unayafananisha na madarasa. Hii kali sasa. Hebu tuambie godown la kutunza ngano isiharibike linahitaji vitu gani?
Godown linahitaji pellets tu kwa ajili ya mazao yasiguse chini na haya ya mazao yanahitaji mzani wa magari ambao si chini ya million 50 .
Ila magodown kwa ajili ya sgr hayahitaji vyote hivyo sanasana kinachohitajika ni hall tu maana mzigo unapimwa kwa behewa pale ihumwa na kwala( kuna mzani unaopima Kila behewa)
 
Capacity ya dangote per day n tan 2000 kwa siku kwa mwezi ni zaid ya tan 40,000 sawa na mifuko 800,000
Mimi nimezungumzia kama ataweza safirisha mifuko 224,000 kat ya mifuko 800,000
Sasa TRC wategemee mzigo wa dangote tu wakati Uzalishaji wa Twiga Cement 5,479 tonnes per day. Yeye alete mzigo wake utabebwa lakini siyo mwenye mzigo mkubwa.
 
Godown linahitaji pellets tu kwa ajili ya mazao yasiguse chini na haya ya mazao yanahitaji mzani wa magari ambao si chini ya million 50 .
Ila magodown kwa ajili ya sgr hayahitaji vyote hivyo sanasana kinachohitajika ni hall tu maana mzigo unapimwa kwa behewa pale ihumwa na kwala( kuna mzani unaopima Kila behewa)
Kaka kazi ya kujenga ma godown siyo ya TRC. Na pesa za TRC siyo kwaajili ya kujenga hayo magodown ipo na majukumu yake kaka. Elewa mfumo wa mashirika. Kama kujenga hayo magodown atajenga TPA au DP world yupo na MoU ya ujenzi wa hizo storage na siyo TRC.
 
Sasa TRC wategemee mzigo wa dangote tu wakati Uzalishaji wa Twiga Cement 5,479 tonnes per day. Yeye alete mzigo wake utabebwa lakini siyo mwenye mzigo mkubwa.
Huo ni mfano sijamaanisha tutegemee mzigo wa dangote tu . Bali hiyo ni sample kuwa tunaweza pata mzigo wa viwanda vya ndani kuliko tunavyofikiri hata Azam
 
Kaka ndiyo maana SGR imejengwa. Lengo kubwa ni kusafirisha mizigo. Kusafirisha abiria ni Service. Na hiyo mizigo unayoitaja haiwezi kuingizia pesa kubwa TRC. Mizigo inayoweza kuingiza pesa nyingi ni ile ya madini
 
Kaka kazi ya kujenga ma godown siyo ya TRC. Na pesa za TRC siyo kwaajili ya kujenga hayo magodown ipo na majukumu yake kaka. Elewa mfumo wa mashirika. Kama kujenga hayo magodown atajenga TPA au DP world yupo na MoU ya ujenzi wa hizo storage na siyo TRC.
Ushafanya kazi kwenye shirika lolote la serikali au unaongea tu?
Kila shirika linatengewa formula ya matumizi.
 
Hiyo ni yako sababu umeamua iwe hivyo. Chukua mfano kukodi behewa Toka kigoma labda litakuwa ni 5mil kwa tan 40 na kumbuka Hilo behewa mara nyingi litarudi empty.
Tukija kwa abiria kwa mabehewa tuliyonayo sasa hivi kwa nauli ya 90,000*78=7,020,000, basi limeenda nusu na kurudi nusu bado litaingiza 7mil kwa go and return huku like la mizigo litakuwa na 5mil.
Ukweli unabaki kuwa abiria bado anaweza lipa kuliko hata mizigo ila inahitaji watu wenye vichwa wafanye kazi
 
Nimegundua kitu kwako.
Wakenya mnakariri hamuelewi.
Kuna utofauti wa poor country na extreme poverty within a country.
Hiyo ripoti uliyoleta wewe inaonesha idadi ya watu wanaoishi below poverty line interms of dollar.
Ila haioneshi poverty extremities kwa nchi nzima.
Tofautisha nchi masikini na idadi ya watu wanaoishi kwenye umasikini katika nchi .
Wakenya hivi elimu zenu mnasomaga shule gani?
The WB report states the number of people living in extreme poverty in Tanzania. NOT the economic situation of Tanzania as a country. Inaongelea idadi ya watu wanaoishi kwenye umasikini just like you've correctly said above, but in this case, extreme poverty. The report does not talk about whether or not Tanzania is a poor country. It talks about her people as you've rightfully said above. Sasa sijui mabishano ni ya nini
 
Kaka kazi ya kujenga ma godown siyo ya TRC. Na pesa za TRC siyo kwaajili ya kujenga hayo magodown ipo na majukumu yake kaka. Elewa mfumo wa mashirika. Kama kujenga hayo magodown atajenga TPA au DP world yupo na MoU ya ujenzi wa hizo storage na siyo TRC.
Unahabari trc washawahi miliki meli ya mizigo , je haikuwa kazi yao?
 
Ushafanya kazi kwenye shirika lolote la serikali au unaongea tu?
Kila shirika linatengewa formula ya matumizi.
Kaka TRC does not own dry ports. Kazi ya kulinda na kujua mizigo kwenye dry ports ni ya TPA. Kwanza unatakiwa ujifunze Value chain ndio uelewe ninachokiongea. Kazi unazotaka zifanywe na TRC ni za TPA. Tayari TPA wapo wanaendelea na ujenzi wa hizo dry ports. Na kutakuwa na storages hizo unazotaka.
Zingine zitakuwa za watu binafsi watapewa maeneo.
Check hapa kaka:

SehemuKielezo
Dry port – DodomaIlhumwa – node ya reli SGR, kusaidia kusambaza mzigo ndani
Dry port – MwanzaFela – kusaidia usafirishaji Ziwa Victoria & Uganda
Dry port – KigomaKatosho – kuhifadhi & kuagiza/kupeleka kwa Ziwa Tanganyika
Dry port – DarKurasini – kuongeza uwezo wa warehousing bandari
Transit hub – ShinyangaIsaka – transit kwa mizigo inayoelekea mikoa ya kati
Kigoma PortMaboresho ya miundombinu kwa mzigo wa reli
Karema PortPort mpya Ziwa Tanganyika – mradi kwa msaada wa binafsi
Cold storageKurasini/Ubungo – kuhifadhi mazao ya kilimo yenye joto maalum
 
Unahabari trc washawahi miliki meli ya mizigo , je haikuwa kazi yao?
Lini TRC ilikuwa ina own hiyo meli? Kama ni hivyo ujue Tanzania ilikuwa haina institutions. lakini kwa sasa kila eneo lipo na Institution yake. Kwa sasa ukija usafiri wa majini Tanzania ipo na shirika lake linaloitwa Tanzania Shipping Company Limited (TASHICO)

Kwa sasa Tanzania ipo na Institutions na inakuwa nchi kamili ya kisasa.
 
Kaka TRC does not own dry ports. Kazi ya kulinda na kujua mizigo kwenye dry ports ni ya TPA. Kwanza unatakiwa ujifunze Value chain ndio uelewe ninachokiongea. Kazi unazotaka zifanywe na TRC ni za TPA. Tayari TPA wapo wanaendelea na ujenzi wa hizo dry ports. Na kutakuwa na storages hizo unazotaka.
Zingine zitakuwa za watu binafsi watapewa maeneo.
Check hapa kaka:

SehemuKielezo
Dry port – DodomaIlhumwa – node ya reli SGR, kusaidia kusambaza mzigo ndani
Dry port – MwanzaFela – kusaidia usafirishaji Ziwa Victoria & Uganda
Dry port – KigomaKatosho – kuhifadhi & kuagiza/kupeleka kwa Ziwa Tanganyika
Dry port – DarKurasini – kuongeza uwezo wa warehousing bandari
Transit hub – ShinyangaIsaka – transit kwa mizigo inayoelekea mikoa ya kati
Kigoma PortMaboresho ya miundombinu kwa mzigo wa reli
Karema PortPort mpya Ziwa Tanganyika – mradi kwa msaada wa binafsi
Cold storageKurasini/Ubungo – kuhifadhi mazao ya kilimo yenye joto maalum
Tukisema hivyo inatakiwa ujue kuwa kabla ya hapo trc ishakuwaga na kumiliki wa meli je ilihusiana na kazi zao.
Ukienda manispaa na halmashauri , sasa hivi kuna baadhi ya halmashauri zinajengwa viwanda kama matofali, na korosho je ni kazi yao?.
Je ni wajibu nanyamba DC kujenga kiwanda Cha korosho badala ya mamcu mtwara ambao ndo chama Cha ushirika?
Ukienda kaliua je ni halali halmashauri ya kaliua kuwa na mitambo ya ujenzi kama graders na bulldozer kwa ajili ya kukodisha badala ya tarura ambao ndo wakala ya ujenzi wa barabara za vijijini?
 
Hiyo ni yako sababu umeamua iwe hivyo. Chukua mfano kukodi behewa Toka kigoma labda litakuwa ni 5mil kwa tan 40 na kumbuka Hilo behewa mara nyingi litarudi empty.
Tukija kwa abiria kwa mabehewa tuliyonayo sasa hivi kwa nauli ya 90,000*78=7,020,000, basi limeenda nusu na kurudi nusu bado litaingiza 7mil kwa go and return huku like la mizigo litakuwa na 5mil.
Ukweli unabaki kuwa abiria bado anaweza lipa kuliko hata mizigo ila inahitaji watu wenye vichwa wafanye kazi
Kaka hujui biashara ya usafirishaji. Ninaumia sana kuona mtu ninayekuheshimu unakuwa mweupe kiasi hicho. Yaani unataka kufananisha biashara ya kusafirisha abiria iwe juu ya biashara ya kusafirisha mizigo? 😭😭😭😭

Hebu tuambie kusafirisha ton moja ya mzigo kutoka Dar kwenda Dodoma ni Sh. ngapi?
 
Tukisema hivyo inatakiwa ujue kuwa kabla ya hapo trc ishakuwaga na kumiliki wa meli je ilihusiana na kazi zao.
Ukienda manispaa na halmashauri , sasa hivi kuna baadhi ya halmashauri zinajengwa viwanda kama matofali, na korosho je ni kazi yao?.
Je ni wajibu nanyamba DC kujenga kiwanda Cha korosho badala ya mamcu mtwara ambao ndo chama Cha ushirika?
Ukienda kaliua je ni halali halmashauri ya kaliua kuwa na mitambo ya ujenzi kama graders na bulldozer kwa ajili ya kukodisha badala ya tarura ambao ndo wakala ya ujenzi wa barabara za vijijini?
🤣🤣🤣🤣 Manispaa na Halmashauri ipi imejenga viwanda vya matofari? Lini TRC imewahi ku own meli? Hicho kiwanda cha korosho unachoongelea siyo cha Nanyamba DC kaka ni cha TANECU LTD (Tanzania's National Cashew Union)

Kaka unaongea theories sana. Hakuna ukweli wowote umeweka hapa. Nimekuomba uweke mahesabu hapa.
 
Back
Top Bottom