Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Faida tena ipo kubwa kumbuka sisi tunatumia umeme tunaozalisha wenyewe hatununui diesel kama nyie kwa kutumia dollar. Lakini tayari tumeliwezesha shirika la Tanesco kupata fedha kwa kuuza umeme.
Mauzo tu mpaka April yalikuwa ni 66.8bil sawa na ksh 3.34 bil ksh hiyo ni ndani ya miezi 8 na siku 5 maana opareshen rasmi za Dodoma zimeanza 25/7/2024 ambayo ni wastan wa 417mil ksh kwa mwezi sasa ukichukua kwa hiyo miezi miwili iliyobakia unapata total ksh 4.174bil ksh .
Kwa mwaka wa kwanza mapato lazima yatakuwa zaid ya mapato ambayo ksh sgr haijawahi fikisha Toka kuanza kwakw
 
Aaah Kenya ni weak bana.
Watu wengi wanawachokonoa sana hata Ethiopia pia ni vivyo hivyo.
Ukija kwa Tanzania it's different.
Wanatuchokonoa kwa maneno, ila sio kwa vitendo. Jiulize kwa nini Idi Amin aliitishia Kenya muda mrefu ile mwishowe aliaattack Vumbistan.
 
Wanatuchokonoa kwa maneno, ila sio kwa vitendo. Jiulize kwa nini Idi Amin aliitishia Kenya muda mrefu ile mwishowe aliaattack Vumbistan.
Nini kilimkuta alipovamia Kagera!?
Hadi leo Uganda hawathubutu kuitisha hata kwa maneno Tanzania.
 
VS

ter6.jpg
Hii ni terminal ya East Africa pekee Geuza.
 
Nini kilimkuta alipovamia Kagera!?
Hadi leo Uganda hawathubutu kuitisha hata kwa maneno Tanzania.
Mlisaidiwa na Marekani na Uingereza kushinda kanchi kadogo ambako kalikuwa kamelemewa kiuchumi juu ya sanctions na dicatorship. Alafu walikuwa wanajeshi wenu 150k vas wao 20k.
 
Mlisaidiwa na Marekani na Uingereza kushinda kanchi kadogo ambako kalikuwa kamelemewa kiuchumi juu ya sanctions na dicatorship. Alafu walikuwa wanajeshi wenu 150k vas wao 20k.
Uingereza na Marekani kutusaidia, unajisikia?

Yaani Uingereza iliyo na Makoloni southern Africa isaidie Tz inayofuga vikundi vya wapigania uhuru kuwaondoa Rhodesia, South Africa etc?

Marekani ipi wakati kipindi hicho ipo Cold War na USSR while Tanzania ipo upande wa USSR.

Elimu yenu ilianzia wapi kweli mbona mpo stupid hivi?

I dare you give me source inasema tulisaidiwa na UK or USA.
 
Idd Amin hakupendwa na Marekani na Uingereza. Nyerere aliwaomba msaada wakampea.
 
Back
Top Bottom