concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Yaan hili la ticket inabid tu wapunguze tu wale watu wa madirishani kampeni ihamie kwenye selfserviceSema SGR wameimprove sana kwa upande wa ukataji wa ticket. Nimependa jinsi Tanzanians wanavyoelimika haraka kwenye tech. Siku hiz wale wa dirishani hawana kazi kabisa. Watu wanascan kwa simu zao tu kuingia kwenye train.
Hili limeongeza sana upatikanaji abiria sasa hivi unakuta mtu yuko huko Dom ndani anajipatia ticket yake bila hata dalali.Siku hiz kupitia mpesa, bank, nk kote huko unakata ticket yako online na hakuna haja ya kuprint.
Mimi naona kwenye vile vituo vya treni wangesogeza hata vituo vya daladala na stendi za kwenda vijijin ili kurahisisha usafiri, bado Kuna uwezekano wa kutoa mpaka treni 8 kutoka Dodoma kwenda dar na bado mabasi yakafanya kazi vizuri sana zaid ya sasa
Zamani ilikuwa kawaida kukuta bonge la foleni watu wakikata ticket kama ilivyo Kenya kwenye kuprint, sasa hakuna kabisa.
Nakumbuka malalamiko ya huyu Liv Kenya. Yote yamefanyiwa kazi. Kazi iliyobaki ni kuongeza treni routes sasa.
View: https://youtu.be/TqryCZcJAO0?si=IkKuPzxXFUlHpU8o
Hata kwenye BRT system ni week tu sasa wamestopisha matumizi ya cash. Watz washaelewa sasa na kila mtu either ana mwendokasi kadi au Anatumia simu yake kuingia kwenye BRT stations. Walete hayo mabasi sasa and problems za BRT systems zitakuwa zimeisha.