Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,674
- 107,110
Qatar Doha sio? kuna mmoja niliweka wallet yangu kwenye scanner ilikuwa na kama 2000€ akaanza kuniuliza nikamwambia afanye kazi yake fedha yangu haimuhusu akanywea! Mpumbavu sana!Duh, Kuna Uwanja wa ndege nimepita manamba ni wakundustan watupu😂. Nikakumbuka Remittance😎😂
View attachment 3395128