Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uingereza na Marekani kutusaidia, unajisikia?

Yaani Uingereza iliyo na Makoloni southern Africa isaidie Tz inayofuga vikundi vya wapigania uhuru kuwaondoa Rhodesia, South Africa etc?

Marekani ipi wakati kipindi hicho ipo Cold War na USSR while Tanzania ipo upande wa USSR.

Elimu yenu ilianzia wapi kweli mbona mpo stupid hivi?

I dare you give me source inasema tulisaidiwa na UK or USA.
Huyo huwa ni mkumbafu pia ana utapiamlo wa akili.
 
Kunyans bana huwa wanajifurahisha sana toka lini Tukashabihiana na UK, USA.

Let we help you history ya Miaka ya 1970s, Tanzania ilisapoti waziwazi Palestine liberation organisation na ni nchi ya Kwanza Afrika to formal cut ties with Israel kuisuport Palestine na ya kwanza kuipa ubalozi sub saharan Africa 1973

1751789142071.jpeg

So UK, na USA kama kawaida ndio walikua supporter wakuu wa Israel unadhani wataenda kuisuport nchi ambayo ipo against na agenda zao.

Kuanzia capitalism, imperialism na their influence to global south.

Kumbuka miaka hiyo ya 1970s ndio Tanzania kupitia UN ambassador Dr Ahmed A. Salim ilipambania China kua na seat moja UN badala ya Taiwan kupelekea Taiwan isitambulike UN itambulike kama PRC, and kupitia hiyo china iliizawadia Tanzania highest national honor kupitia Mchango wa DR. AHMED A. SALIM

1751789539146.jpeg

I think mnaona sasa Taiwan ilivyo na USA.

Bila kusahau miaka hiyo ilikua imehodhi vikundi vya ANC (South Africa) ZANU-PF (Zimbwabwe), MPLA (Angola), FRELIMO (Msumbiji), katika kupigania uhuru ulio kua against na Interest za British.

Chukueni elimu acheni udwanzi
 
Uingereza na Marekani kutusaidia, unajisikia?

Yaani Uingereza iliyo na Makoloni southern Africa isaidie Tz inayofuga vikundi vya wapigania uhuru kuwaondoa Rhodesia, South Africa etc?

Marekani ipi wakati kipindi hicho ipo Cold War na USSR while Tanzania ipo upande wa USSR.

Elimu yenu ilianzia wapi kweli mbona mpo stupid hivi?

I dare you give me source inasema tulisaidiwa na UK or USA.
The United States didn't play a role directly in this war, but it played a role through its policies; namely imposing an arms embargo on Uganda and boycotting Uganda's coffee which impacted Uganda economically. All these impacted on Uganda militarily. In fact, Nyerere later later appreciated the goodwill shown by the US
 
Aawapi! Algeria na Mozambique ndio walitusaidia! Kenya na nchi zoote za Kiarabu ikiwemo Libya walimsaidia Idd Amin!
How would Kenya help Amin when we were never friends? Remember when he bacame president he immediately started claiming the most productive part of Kenya as Uganda's territory? We even offered Israel a landing ground to rescue Jews in Uganda.
 
The United States didn't play a role directly in this war, but it played a role through its policies; namely imposing an arms embargo on Uganda and boycotting Uganda's coffee which impacted Uganda economically. All these impacted on Uganda militarily. In fact, Nyerere later later appreciated the goodwill shown by the US
Pea huyo kinyangarika somo kabisa.
 
The United States didn't play a role directly in this war, but it played a role through its policies; namely imposing an arms embargo on Uganda and boycotting Uganda's coffee which impacted Uganda economically. All these impacted on Uganda militarily. In fact, Nyerere later later appreciated the goodwill shown by the US
leta evidence! US na UK hawakufanya hivyo kuisaidia Tanzania bali kwa their self interests!
 
Kunyans bana huwa wanajifurahisha sana toka lini Tukashabihiana na UK, USA.

Let we help you history ya Miaka ya 1970s, Tanzania ilisapoti waziwazi Palestine liberation organisation na ni nchi ya Kwanza Afrika to formal cut ties with Israel kuisuport Palestine na ya kwanza kuipa ubalozi sub saharan Africa 1973

View attachment 3396150

So UK, na USA kama kawaida ndio walikua supporter wakuu wa Israel unadhani wataenda kuisuport nchi ambayo ipo against na agenda zao.

Kuanzia capitalism, imperialism na their influence to global south.

Kumbuka miaka hiyo ya 1970s ndio Tanzania kupitia UN ambassador Dr Ahmed A. Salim ilipambania China kua na seat moja UN badala ya Taiwan kupelekea Taiwan isitambulike UN itambulike kama PRC, and kupitia hiyo china iliizawadia Tanzania highest national honor kupitia Mchango wa DR. AHMED A. SALIM

View attachment 3396159

I think mnaona sasa Taiwan ilivyo na USA.

Bila kusahau miaka hiyo ilikua imehodhi vikundi vya ANC (South Africa) ZANU-PF (Zimbwabwe), MPLA (Angola), FRELIMO (Msumbiji), katika kupigania uhuru ulio kua against na Interest za British.

Chukueni elimu acheni udwanzi
Yani mnajichocha jinsi mlisupport Palestine halafu kwa vita vyenu na Amin Palestine ikasupport Amin na hamuoni aibu? 🤣 🤣
Ndio maana tunawaambianga ni nyinyi mnapenda kujipendekeza kwa watu hawamtaki hamsikii. Same way mko humu mnajichocha jinsi mlikomboa Africa Kusini wakati saahii Africa Kusini wanawaona tu kama drug dealers. 🤣🤣🤣
 
Kwani TZ inataka nini Afrika Kusini?

We helped tons of them for free, and we don,'t need anything in return

Kwanza tunawahurumia kwasababu wana lroblems kibao kuliko sisi.
 
Same way mlisaidia Palestine. Yani nyinyi kila mtu mlimsaidia ila kwa watu mnaosema mliwasaidia hakuna anayekubali mlimsaidia.
 
Hivi elimu ya Kenya ni English tu.

Why so dumb. Dumbest??
Haiti tulipeleka polisi sio Wanajeshi. Haiti haikuwa vita, ilikuwa kuwasaidia polisi wa Haiti kwa gang violence. Jifunze vitu basic ndio uulize maswali.
Ni foreign mission au sio ? Iwe ni policy au military still yet mmeshindwa , police wanatupa picha jeshi lenu lilivyo
 
Back
Top Bottom