concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Mwaka huu tunafunga na 2.7mil mwakani lazima tuvuke 4mil, ishu mwanzoni hawakuwa wanajua jinsi ya kupata ticketAlikuja na majivuno wenyewe wanaita pride kwa kiswahili chao kibovu asijue mwaka wa kwanza tu SGR Tanzania imepindua meza!
SGR Tanzania itapita 2.5 mln PAX ukizingatia mwezi wa June hata frequencies za trains na flights ziliongezeka kutokana na mahitaji!