ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,877
Private!Cath lab Tenwek Hospital, Bomet County.
View attachment 3391205View attachment 3391206View attachment 3391207View attachment 3391208
Basi soon wataendelea na wao kimaendeleo,maana uongozi wao seems to be serious kwa mipango wanayopanga.
Japo najiuliza,kwanini hapa EA wanaitizamia sana Tanzania kama mshirika na kigezo?
Juzi nimeona Diwani wao, MCAs wanakula sitting allowance ya Tsh 2M na mshahara wa kila mwezi ni Tsh 2M.Besides their budget is unrealistic many gaps in revenue collections and forecast. It is basically a consumption economy based on loans.
Aisee kama si EU kutuzuia ingekuwa muda muafaka kuanza routes huko! Ila kama kawaida tunakosa fursa kwasababu ya watu flani kutotimiza majukumu!Walikuwa wanacheka DL yetu ilivyokuwa inasubiri engine pale malaysia last year ilikaa karibia 8months wakawa wanatucheka sana wanaita ya mtumba huku wakiwa hawajui yanayoenda kuwapata sasa hizi DL zote za air tanzania zinafanya kazi wao wanahangaika
Kwa nini mnapenda kucreate your own happiness 😊
![]()
Yaani mnapenda uongo kuliko ukweli. Hii list mmeedit. Leta link
Jaluo mpumbavu kaenda kujipachika!Nakumbuka niliiweka mm wa kwanza humu Nairobiwoker akanijia juu
Sasa wameenda kuediti wajipe furaha du kazi ipo kwa jirani
Inaonekana mahitaji ya umeme Tanzania ni makubwa sana kuliko Kenya, maana kwa sasa umeme unaozalisha ni zaid ya 4000 huku bado tukihitaji na umeme kutoka ethiopia
Duh ndo hivyo , Nadhani mpka 2026 waharakishe haraka maana European cities zinaleta toursit wengiAisee kama si EU kutuzuia ingekuwa muda muafaka kuanza routes huko! Ila kama kawaida tunakosa fursa kwasababu ya watu flani kutotimiza majukumu!
Route ya Maputo dar haina abiria kabisa labda ingekuwa ni nampula- pemba- darDuh ndo hivyo , Nadhani mpka 2026 waharakishe haraka maana European cities zinaleta toursit wengi
London
Rome/Milan should be on plans tukipata kibali
Kwa sasa tupate african routes kwanza
Lagos this August itaanza
Tukipata uwezo as in if TCH will be back , Accra via Abidjan would be a good route to consider and possibly Maputo
Pia SSH aligusia Luanda Angola
Kuna Q400 inakuja probably end of year or mwaka ujao mwanzoni
Kuna plans za Dzadouzi,Goma via Bujumbura,
Kigali and Mombasa would make sense pia kuzianza
No plans for Juba and Mogadishu yet but i think they will be considered in few years
Probably itakuwa hivi i think kitu kama hichi kinaweza kufanya kazinRoute ya Maputo dar haina abiria kabisa labda ingekuwa ni nampula- pemba- dar
Hata ya Bongo Najua … I love Yanga ( Young Africans) …Hata Nikiwa Mdogo back in the days I still remember a player named Zamoyoni Mogera terrorizing Harambee Stars defense on the radio . Trust me I never forget my roots . You can take that to the bank .I can see my African brother you are living your American dream well. How about Kenyan football do you even make a follow up?
Thank You for your kindness. Looking forward to breaking bread with you one day in your dream house in Tandale and we can continue the conversation and you can show me how African your soul is. And be cautious now, don’t let technology colonize you . 🤣🤣🤣Don't misuse the word infanticide since when sperms became infants? Enjoy your dream my brainwashed mentally colonized African brother😁