Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh ndo hivyo , Nadhani mpka 2026 waharakishe haraka maana European cities zinaleta toursit wengi
London
Rome/Milan should be on plans tukipata kibali

Kwa sasa tupate african routes kwanza
Lagos this August itaanza
Tukipata uwezo as in if TCH will be back , Accra via Abidjan would be a good route to consider and possibly Maputo
Pia SSH aligusia Luanda Angola


Kuna Q400 inakuja probably end of year or mwaka ujao mwanzoni
Kuna plans za Dzadouzi,Goma via Bujumbura,
Kigali and Mombasa would make sense pia kuzianza

No plans for Juba and Mogadishu yet but i think they will be considered in few years
Route ya Maputo dar haina abiria kabisa labda ingekuwa ni nampula- pemba- dar
 
Route ya Maputo dar haina abiria kabisa labda ingekuwa ni nampula- pemba- dar
Probably itakuwa hivi i think kitu kama hichi kinaweza kufanya kazin
i think Maputo is political reasons
Ni kama Lagos ambavyo natamani waijoin na accra lakini inaweza isiwe suitable for better conncetion times

Dar-Pemba-Maputo- Dar would probably work kama LAM walivyofanya
Wanaweza wakajoin
Nampula na Lilongwe/Blantyre
Iwe Dar- Blantyre-Nampula - Dar
 
I can see my African brother you are living your American dream well. How about Kenyan football do you even make a follow up?
Hata ya Bongo Najua … I love Yanga ( Young Africans) …Hata Nikiwa Mdogo back in the days I still remember a player named Zamoyoni Mogera terrorizing Harambee Stars defense on the radio . Trust me I never forget my roots . You can take that to the bank .
 
Don't misuse the word infanticide since when sperms became infants? Enjoy your dream my brainwashed mentally colonized African brother😁
Thank You for your kindness. Looking forward to breaking bread with you one day in your dream house in Tandale and we can continue the conversation and you can show me how African your soul is. And be cautious now, don’t let technology colonize you . 🤣🤣🤣
 
Nakumbuka niliiweka mm wa kwanza humu Nairobiwoker akanijia juu
Sasa wameenda kuediti wajipe furaha du kazi ipo kwa jirani
View attachment 3391406
Asilmia kubwa ya wakenya hawahoji habari, wanachukua habari jinsi ilivyo.
Ni watu wa kukalili kwa sababu wana akili ndogo walio wengi.

Ndo maana hata wakija Dar wanataka ifanane na Nairobi. Hawaapreciate diversity of the city.
Kimsingi ni rahisi kutapeliwa, kuuzwa na kudanganywa
 
Egyptians wame set Bars ambazo it will take forever for an African city to meet them. 👇🏾 this is $58 billion project. 👇🏾
View: https://youtu.be/qb2mgEFyNE4?si=Rl3i4LKnxtkgBXKj. This is the first super tall building in Africa. 👇🏾
IMG_9493.jpeg
IMG_9492.jpeg
imagine building a new city to host around 6.5 million people. One of the largest modern cities on earth.
 
Wapande miti ya kutosha hatakama ni jangwa
Sisi tuendelee kupigizana kelele tu humu, tujifurahishe basi. Egypt sahii infrastructure wise, peers wake ni Middle East countries. Hii ni Al Alamein city 👇🏾
View: https://youtube.com/shorts/nwwIXGcyrJU?si=bQXcxkIiAnk0qLyA. ..https://youtu.be/fwZRyzEIY04?si=3wUk7xRg8JsqEQ7I.
View: https://youtu.be/VXxOaI6yrgU?si=5h69f3MKoQv-pwcU..
View: https://youtu.be/fwZRyzEIY04?si=EDjrzxuprvvF5-ZP. Achana na new Cairo, this is new under construction development in Egypt


Egyptians wame set Bars ambazo it will take forever for an African city to meet them. 👇🏾 this is $58 billion project. 👇🏾
View: https://youtu.be/qb2mgEFyNE4?si=Rl3i4LKnxtkgBXKj. This is the first super tall building in Africa. 👇🏾 View attachment 3391626View attachment 3391627imagine building a new city to host around 6.5 million people. One of the largest modern cities on earth.
 
Kundurenda kila akigusa anakutana mboga moto ugali moto akimwaga mboga watu wanamwaga ugali wanabaki ni kutukana tu na hasira mm nyumbani ni Tarime pale Sirari kwa hiyo nawafahamu vzuri sana yaani kila kitu wanakuja kununua Tanzania kipindi cha COVID-19 walikuwa wanavuka usiku kuja kutafuta chakula maake walifunga mipaka
Asilmia kubwa ya wakenya hawahoji habari, wanachukua habari jinsi ilivyo.
Ni watu wa kukalili kwa sababu wana akili ndogo walio wengi.

Ndo maana hata wakija Dar wanataka ifanane na Nairobi. Hawaapreciate diversity of the city.
Kimsingi ni rahisi kutapeliwa, kuuzwa na kudanganywa
 
Back
Top Bottom