Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi naivasha malaba imeanza lini ?🤣🤣🤣
Wewe unajua phase 2 maana yake nini?
SGR phase 1 was completed on schedule.

Phase ya kufika Malaba ikianza, rudi hapa useme tumeshindwa kumaliza.
Ama ulikuwa unataka tumaliza ambacho hatujaanza?
 
Hii project niipost kabisa before waseme tunewakopi.. Gerezani BRTstation. 👇🏾View attachment 3392583sahii Tupo hapaView attachment 3392582
😂 😂 Hii sijui mlicopy wapi, lakini si Kenya.

Nairobi Railway City when fully complete is I think bigger than our current CBD, and you're here comparing with some dingy, backwater bus-sheds with designs straight from the 80s 😂😂
 
Mchina hapa alijichanganya, speed konokono mzigo wa mmachinga, hivi hii whitelephant itakaa ibreakeven?
Kutoka Mombasa mpaka naislum containers tano 😂😂

View: https://vm.tiktok.com/ZMS4DkFqU/

Halafu kuna mpumbavu mmoja yule mnuka mavi anapiga kelele kuhusu double stack. 🤣🤣🤣🤣.

Uchumi wao unajiharishia vibaya sana.
 
Phase 2 after 10 years for only 900+ km, wakati wenzako wako hapa
Hii ni km 1200 Toka dar es salaam ,

As I said, more money, more problems.
We have a millions things going on in Kenya, including paying teachers, nurses, policemen about 3 times the average salary in bongolala.

In those 10 years:

GDP 2014
Kenya: $68b
Tanzania: $50b
Gap: $18b

GDP 2024
Kenya: $120b
Tanzania: $80b
Gap: $40b

99% of bongolala looks straight from 1980s Kenya.
 
'Kenya bila pesa' still collects more revenue than bongolala and your LDC slum neighbors combined.

The last time the US balanced a budget was over 20 years ago.
In the same period, their GDP has almost tripled.

Show me a country that doesn't borrow, and I'll show you an uneducated bongolala liar.

Speaking of nurses:
Kenya nurses: 82,000
Tanzania nurses + midwives: 47,000

Average monthly nurse salary (USD)

Kenya: $700
Tanzania: $220

If you were to pay your employees even half of what Kenya pay theirs, your budget would have a 80% deficit.

We are not the same. Please compare yourselves to fellow low income earners in Burundi.
Our money is bigger and our problems bigger.
The only public salary payments Kenya inatuzidi ni ya POLITICIANS.

Kwenye public academic service, we get paid more, and our money can still go a long way than Kenya's
 
As I said, more money, more problems.
We have a millions things going on in Kenya, including paying teachers, nurses, policemen about 3 times the average salary in bongolala.

In those 10 years:

GDP 2014
Kenya: $68b
Tanzania: $50b
Gap: $18b

GDP 2024
Kenya: $120b
Tanzania: $80b
Gap: $40b

99% of bongolala looks straight from 1980s Kenya.
Leta development expenditure kwa bajeti ya 2025 ya Kenya versus tanzania
 
As I said, more money, more problems.
We have a millions things going on in Kenya, including paying teachers, nurses, policemen about 3 times the average salary in bongolala.

In those 10 years:

GDP 2014
Kenya: $68b
Tanzania: $50b
Gap: $18b

GDP 2024
Kenya: $120b
Tanzania: $80b
Gap: $40b

99% of bongolala looks straight from 1980s Kenya.
Tz gdp sio 85 billion tena.? 🤣🤣🤣
 
Mkuu ya kweli haya au janja janja tu hizi!?
Nachojua Kuna huo mradi wa Uranium Mkuju River kule Namtumbo siku nyingi ila unatarajia kuanza uzalishaji mapema mwakani,Kuna kampuni ya USA kule.

Ila anayoongea huyu mzungu sijui kama ni kweli au laa.
 
Ni ya uchimbaji au Kuna vinu vya kurutubisha uranium?
 
Back
Top Bottom