Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tuendelee kupigizana kelele tu humu, tujifurahishe basi. Egypt sahii infrastructure wise, peers wake ni Middle East countries. Hii ni Al Alamein city 👇🏾
View: https://youtube.com/shorts/nwwIXGcyrJU?si=bQXcxkIiAnk0qLyA. ..https://youtu.be/fwZRyzEIY04?si=3wUk7xRg8JsqEQ7I.
View: https://youtu.be/VXxOaI6yrgU?si=5h69f3MKoQv-pwcU..
View: https://youtu.be/fwZRyzEIY04?si=EDjrzxuprvvF5-ZP. Achana na new Cairo, this is new under construction development in Egypt

Hata hivyo Uchumi wao unaruhusu.
 
Huwa wanalazimisha sana Tanzania ichukiwe na SA yaani unamkuta anakesha Tiktok na YouTube kutafuta videos za baadhi ya wajinga waliozaliwa 2000s. 😂😂😂
Sio south africa tu,wakati wa wimbi la wamarekani weusi kuhamia africa,wengi walichagua TZ na ghana,basi majirani wakaanza kampeni ya kuwavuta waende kwao pia,kibaya wakawa wanatumia njia ya kuipondea TZ,kunyan ni watu wa wivu flan hivi
 
Wapo wengi tu, TZ ila sisi hatuna shobo nao.

Kuna wengine waliondoka kwa kuponda ,baadaye walivyoenda huko kwingine wakaanza kurudi wenyewe kimya kimya.
 
Another render to make Darslum sh*t bricks 😂 😂

Nairobi Railway City
- Work has already began on the first 2200 housing units on the site.
* Total upon completion - 30,000 units.
* 70 - 100 highrise towers of 24 floors each (About 10 times more than they have in Mikochini na sijui Morocco combined)
* Money is available 😂😂. Building capacity ndio tunakosa sasa hivi. The housing fund is overflowing.

  • Prerequisite pedestrian underground tunnel weeks from competition.
  • Combine Railway City + Nairobi River Park + Affordable housing, I dare say Nairobi will be unrecognizable in 5 years.
Bongoslum hoiyeee.. Mama Tano tena 😂

View: https://www.youtube.com/watch?v=0O_MCUGS5og

kas.JPG
 
View attachment 3391815

If wishes were horses
 
Back
Top Bottom